Bahari mpya kuligawa bara la Afrika, Tanzania kuwa sehemu ya Kisiwa

Bahari mpya kuligawa bara la Afrika, Tanzania kuwa sehemu ya Kisiwa

Sisi tunaosoma Biblia na kuelewa NENO la MUNGU, tunasema that will never happen, haitakaa itokee.

Sababu ni kwamba, Biblia imetabiri matukio yote makubwa yatakayotokea duniani. Tukio la kugawanyika kwa bara la Africa ni tukio kubwa mno na halijatabiriwa kwenye Biblia.

Tukio kubwa lililotabiriwa ni tetemeko kubwa la ardhi litakaloikumba dunia yote kwa mara moja na kusababisha milima yote kudidimia na kufutika kabisa kwenye uso wa dunia. Pia, visiwa vyote vitatoweka sababu ya tetemeko hilo. Miji yote, majiji yote ya duniani yataanguka, majumba na maghorofa yote yatakaa chini.

Na baada ya tetemeko hilo kuu, ndipo KRISTO ataonekana akishuka kutoka mawinguni, akija na malaika wengi mno na sauti kuu ya parapanda itasikaka duniani kote.
Hiyo Bible imeandikwa na nani wewe mfia dini?
 
Ikitokea hivyo Visiwa vyote vya karibu na hiyo ardhi itakayomeguka vitapukutishwa na hilo pande la ardhi litakalojimega,kuna hatari kuna nchi au Wilaya zitafutwa kabisa katika sura ya Dunia kama vile Zanzibar yote,Madagaska,Shelisheli,Mafia n.k
 
Sisi tunaosoma Biblia na kuelewa NENO la MUNGU, tunasema that will never happen, haitakaa itokee.

Sababu ni kwamba, Biblia imetabiri matukio yote makubwa yatakayotokea duniani. Tukio la kugawanyika kwa bara la Africa ni tukio kubwa mno na halijatabiriwa kwenye Biblia.

Tukio kubwa lililotabiriwa ni tetemeko kubwa la ardhi litakaloikumba dunia yote kwa mara moja na kusababisha milima yote kudidimia na kufutika kabisa kwenye uso wa dunia. Pia, visiwa vyote vitatoweka sababu ya tetemeko hilo. Miji yote, majiji yote ya duniani yataanguka, majumba na maghorofa yote yatakaa chini.

Na baada ya tetemeko hilo kuu, ndipo KRISTO ataonekana akishuka kutoka mawinguni, akija na malaika wengi mno na sauti kuu ya parapanda itasikaka duniani kote.
Basi mkishavuta bangi zenu hizi stori zinawakaa kweri-kweri
 
Chanzo ni TBC, hihii iliyotutangazia raisi ni mzima na anaendelea na majukumu yake, ila baadae tena mara hatukonae dunian
 
Sema Mungu wenu katiri sana na gaidi kwan hawez kufanya huo uharamia wake wa kuijenga dunia apendavyo bila kuharibu maisha ya watu na kuacha maumivu?

Emu acheni kumsingizia huyo Mungu, mambo mengine tumieni akili, majanga yanatokea sababu ya kijiografia na sio sababu za Mungu, yeye alishaumba hahusiki tena kuedit uumbaji wake, maana alishasema kila alichoumba ni sahihi so how arekebishe tena??

Elimikeni.
Kama Kila alichoumba sahihi, kwa nini tunakufa!? kwa nini tunazaliwa!????
Yes, Kila alichoumba kiko sahihi. Sawa sawa na Mjenzi kile alichojenga ni sahihi, lkn kila baada ya muda ufanya maboresho ya ukarabati ikiwemo kufunga taa mpya na kuweka Urembo aupendao sawa sawa na nyakati zilizopo.

Mfano dunia ilikuwa na viumbe wengi wa hatari, lkn leo hii havipo.
Unafikiri havikuwa viumbe sahihi!?? Jibu ni kwamba walikuwa sahihi kwa wakati uliopita, lkn kwa wakati uliopo Mungu hakuona wanastahili ndio maana aliviondosha....

Mungu hajawai kuwa katili wala gaidi, kila anachofanya ni sahihi kwa wakati sahihi kwa viumbe sahihi, kila afanyaro limehakikishwa ni jema kwa wale walio wema.

Maafa na simanzi ni mambo ya kupita tu kwa viumbe wake awapendao hasa Binadamu, ndio maana tumeumbiwa kusahau, Kizazi kitakuja, na kizazi kitapita lkn uwepo wa Mungu hautapita kamweeeeeeeeeeee
 
Tanzania mletwe Rwanda tuwatumikishe
Hakutakuwa na rwanda wala burundi tena na kama vitabaki ni vipisi tu vya hizo nchi vyote vitamezwa na maji eneo lenye ukubwa wa kama kilometa 50 kila upande lita momozokea kwenye huo mpasuko na kumezwa na bahari mpya
 
Nini hatma ya mto congo maana naona lake Tanganyika halitakuwepo tena.
Siyo lake tanganyika tu bali eneo kubwa la ardhi lita potea kuwa sehemu ya bahari nchi kama burundi na rwanda zinaweza kumezwa na hiyo bahari mpya na mikoa ya kigoma nk ardhi yake kubwa ita mezwa na maji ....dalili kubwa ya kugawanyika ni kuanza kupungua kwa kina cha maji kwenye ziwa tanganyika kutakako tokana na mpasuko chini kwa chini
 
Back
Top Bottom