Bahati iliyoje Ukraine firm kununua ndizi zote za Tanzania

Nawasalimu kwa jina la JMT,
VIVA SAMIA VIVA | VIVA TANZANIA VIVA
We mtu CM 1774858 , wee vipi?!. Kama Mama anafanya mambo makubwa mazuri kama haya, vipi unataka ainuliwe wapi zaidi ya hapo alipo?!. Unataka apalizwe mbinguni kabisa akamsaidie yule aliyeomba kufanywa Mkuu wa malaika?!. Acha hizo!.
Hapo Mama alipo ni yuko juu, ukitaka ainiliwe zaidi itakuwa ni mawinguni!. Bado tunamuhitaji sana.
P
 
Naona unaupungufu wa Uzalendo Mkuu,

Miamila inachukua Tshs 6,000 hata ukituma 100M,

Nikweli Miamala iwalaze watu njaa?

Nadhani jifunze kuipenda nchi yako,
Nilituma dola 170; muamala ukabaki na shilingi 12,000!
 
Sasa kuvutia sindio kununua huko na ndio kuweka pesa ( trapping)
 
😀😀😀😀 Mkuu Pascal Mayalla nazungumza kuinuliwa kutoka mavumbini kwenye kashfa na dharau, Kejeli na masimango,

ALL IN ALL HAKUNA KAMA SAMIA
_________________________________
 
Wenzio yamewakuta sasa!!
hao wanakuvuta unaenda...ukishaenda unajazwaaa mwisho ndiyo unaliwa!!
Wanajua vema wanawake wanaamini kirahisi.
Mahubiri yakweli hayahitaji mambwembwe meeengi mf. msikilize mwakasege... Nipoint tuu hamna ujanjaujanja

Kukulana ni makubaliano. Kwa hiyo hao unaowajua walikubaliana
 

Kaka P☝✌
 
Nilituma dola 170; muamala ukabaki na shilingi 12,000!

Unayo hiyo SMS mkuu,

Muamala wa serikali max ni Tshs 6,000 tu hizo gharama zingine ni za kampuni ya simu,

Itume hiyo SMS hapa kama unayo
 
😀😀😀😀 Mkuu Pascal Mayalla nazungumza kuinuliwa kutoka mavumbini kwenye kashfa na dharau, Kejeli na masimango,

ALL IN ALL HAKUNA KAMA SAMIA
_________________________________
Watu wanaanzaga hivi hivi, hata JPM, wasifiaji walianza hivi hivi, huyo huyo aliyeinuliwa kutoka jalalani, akaja kumuita ni mungu!. Angalieni katika kumsifu mama msijekupitiliza na kumponza!, rais wa nchi ndie mtu aliyejuu kuliko wote, sasa mtu yuko juu kuliko wote halafu bado unataka ainuliwe, ainuliwe apelekwe wapi?!, halafu akiinuliwa kweli si ni wewe ndio utarudi hapa macho yamekuvimba kwa kulia kutwa kucha?. Acheni hizo!.
P
 
halafu mama huyu anayeonekana kuogopa lawama, sifa hizi zinaweza kumfanya asiwe active kabisa. Kiongozi imara ni yule asiyeogopa lawama katika kusimamia anachoamini, na kiongozi hawezi kufanya maamuzi kwa kusikiliza yatakavyopokelewa bali kwa kuangalia malengo (vision) yake. Vision ya huyu mama haijaonekana wazi, ukiachilia ile ya kuwaomba wafanya biashara warudi tena, haijaulikana anataka wakirudi itakuwaje kwa upande wa serikali yake: status quo (bora liende) au kuna active plan fulani (yaani mchango wa biashara hizo ni upi). Hizi tozo za miamala siyo za biashara bali ni za watu wa kawaida sana, wameongezewa kodi kwenye maisha yao ya kila siku. Biashara zote lazima zilipe kodi serikalini, kukaribisha biashara na kuwapa tax holiday ni njia za kizamani sana za kuvutia biashara, ambazo hazifanyi kazi. Mwaka 1993 au 94 hivi tulipata Sheraton Hoteli ikiwa na tax holiday ya miaka kadhaa, baada ya muda huo wakaondoka na kubadilishwa jina kuwa kampuni nyingine ambayo nayo ikapokea tax holidaya kwa miaka kadhaa. Hiyo ni plani mbovu sana katika kuendesha uchumi mwa taifa. Ni afadhali mwekezaji ajue wazi kuwa nikienda kuwekeza Tanzania nitalipa kodi kadhaa; akija, anakuwa anajua kabisa wajibu wake.
 
Mipango ya Mungu sio sawa na ya wanadamu

Nitumie tena ile video hapa CM 1774858



Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan

CM 1774858 😍😍
Huyu mtumishi wa Mungu ninamwelewa sanaa.
Mungu amlinde na amjaalie kazi yenye baraka tele.
 
am speechless,

Nadhani mambo kama ni haya hakuna haja ya 2025 kuwa na Uchaguzi,
Tumwache tu mama mpaka 2030

kwani tayari keshamaliza uchaguzi huyu,

Mama Samia tunakuombea mama yetu,
Waambie wanufaika wenzio.
 
Mama umependeza sana kwenye hili vazi.
 
Tangu uanze kutoa matangazo ya kusifia na ahadi kemkem kuanzia utalii, biashara na Kenya, Rwanda nk nani kaja Tanzania na mmeingiza kiasi gani zaidi ya kile kilichokuwa kikipatikana kabla?

Hatuhitaji maneno yanatakiwa matendo halisi na faida dhahiri sio kusifiana kisiasa kwa faida binafsi
 
Tani 100 kwa siku ! Moshi / arusha mifuko itajaa ela !
Halafu ndizi ya Moshi ladha yake ni ya kipekee kama vile kahawa yake ilivyo , hawa wanunuzi wakenya wamegundua hilo
 
Mayala unamaanisha nini?
Hujaelewa nini hapo?

Mungu huwainua watu wake wakiwa hapahapa dunia kama ambavyo wewe umeinuliwa kwenye kuandika
 
Wewe unatakaje?

Au hutaki waje?
 
Mimi ni sekta binafsi, nakuthibitishia Mama is doing wonders.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…