Bahati iliyoje Ukraine firm kununua ndizi zote za Tanzania

Heri tumbo lililokuzaa wewe mwandishi,

Hii akili unatoa wapi?

Nakupongeza sana niko JF muda sana ila wewe jiwe kweli kweli
 
Wewe ni takataka, wewe ukiteuluwa na Rais utakataa?

Mkuu CM 1774858 piga kazi achana na wahuni hawa wasio na uchungu na nchi yao,
 
Mama ana nyota huwezi fananisha na wale waharibifu ,,toka maisha yake hadi sasa ana akisi nyota yake kwenye Nchi..

Tumuombee tuu maana this time around kilimo kitakuwa na tija..

Kwa mda aliokaa ofisini tukisema tufanye ulinganisho na waliotangulia utaona utofauti mkubwa Sana.

Hongera kwake ni bahati mbaya hii nchi ina watu wenye mdomo Sana,saizi alitakiwa awe Dubai world expo kwenye maonyesho makubwa ya biashara Duniani kushawishi wawekezaji,Marais wengine wameenda kama Museveni . πŸ‘‡

 
Watu wanashindia mkate na au kutokula kabisa siku mojamoja kwa sabb pesa zooote zinakusanywa na kupelekwa hazina, miamala haina kupewa listi, ukikohoa tu, kodi, chafya, kodi, mitaani hakuna pesa kabisaaa
Wakati mnyapara kaharibu uchumi ulitegemea pesa zitakuja mtaani overnight?

Kwani kodi ikochukuliwa inaenda kutumiwa mbinguni sio mitaani? Bure kabisa
 
Kuna kipindi tuliaminishwa kwamba Wachina wanataka kununua mihogo yote Tanzania - hadi wa leo hakuna cha mchina wala muhogo wetu uliyovuka bahari ya hindi.

kwa hiyo watanzania msiwe wepesi wa kushangilia kila jambo.
Unaweza muamini Jiwe wewe na genge lake?
 
Wewe umekatazwa kuwa mnunuzi ukauze huko unakowalaumu Kenya? Si bora hata wametupatia soko?
 
Ndizi zikipata ukombozi kama wa parachichi, kuna maeneo nchi hii yakuwa tajiri sana.. tuombe hili jambo liwe la heri.
 
Tuachieni mama yetu huko mbinguni nendeni wenyewe kwa kiongozi wenu wa malaika atawapa vyeo.
 

Mkuu,

Umekuwa unaandika post nyingi sana, nimekuwa nazifuatilia. Lakini karibia zote huwa "hazileti maana" au zinakuwa na hoja "hafifu". Nakushauri kabla ya kuandika chapisho, jaribu kufanya research ya kina. Zaidi ya hapo nakukubali sana na ninapenda unavyo andika.

Kuhusu hii mada ya leo,ungefanya research ndogo tu,ungeweza kugundua kwamba Angola ndio nchi ya kwanza Africa kwa kuzalisha Ndizi,pia ungeweza kugundua Uganda haipo kwenye top 5 Africa kwenye kuzalisha ndizi. Pia sio kweli kwamba 50% ya ndizi zote Africa zinatoka Tanzania na Uganda.

Kama unataka kupata % ya ndizi zote zinazo zalishwa Tanzania na Uganda tumia hii kanuni
= (Jumla ya ndizi zilizo zalishwa Tanzania na Uganda/ Jumla ya ndizi zilizo zalishwa Africa)x 100

Argument:
Hata tukiweza kuzalisha kiasi kikubwa, Africa tunauza asilimia 5 kwenye soko la Kimataifa. Kuzalisha ndizi nyingi haina maana kwamba tutaweza kuuza ndizi zote. Kumbuka kwenye soko la kimataifa kuna ushindani mkubwa. Asilimia 5 bado ni ndogo sana kwa Africa. Ukiangalia asilimia ya Tanzania, ndani ya hiyo asilimia 5, utapata kiasi kidogo sana.
Unaweza kujaribu kuangalia au unaweza kuniuliza,nitakusaidia.

Information zote zipo kwenye internet, kama utataka nikusaidie unaweza kuni inbox.
Asante
 
😍😍😍 Mkuu tulikumis Sana,


#KAZI IENDELEE KWA KASI NA WELEDI ZAIDI
 
😍😍😍 Mkuu tulikumis Sana,


#KAZI IENDELEE KWA KASI NA WELEDI ZAIDI
Nilikuwa likizo fupi ya ban baada ya kuwapa kiminyo misukule fulani ya Mwendazake.

Nimesikitika Sana mama hajaenda Dubai World Expo kuwashawishi wafanyabiashara,najua sababu ni midomo midomo ya watu wajinga..

Next time Tujenge ukumbi wetu pale maana Nchi za EAC zote ziko kule kasoro Tzn tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…