Bahi, Dodoma: Treni iliyokuwa ikitoka Dar kuelekea bara imepata ajali. Majeruhi na vifo vyaripotiwa

Bahi, Dodoma: Treni iliyokuwa ikitoka Dar kuelekea bara imepata ajali. Majeruhi na vifo vyaripotiwa

Wanabodi,

Kuna taarifa kwamba treni toka Dar imepata ajali na mabehewa zaidi ya matano yameanguka na kujeruhi na kuua abiria wilayani Bahi mkoani Dodoma. Chanzo rasmi Bado ila inahusishwa na kuharibika daraja. Taarifa rasmi zitawajia.
 
Mungu awarehemu waliotutoka..
Poleni wafiwa.
 
Oh poleni wafiwa
Mungu awape faraja.

Majeruhi Mungu awaponye haraka.
 
Back
Top Bottom