HDMI
JF-Expert Member
- Mar 10, 2018
- 671
- 1,339
Hili swali hata mimi nimejiuliza sana. Isije kuwa waliacha zamani sana huu utaratibu aidha kwa sababu hakuna ufuatiliajiSiku hizi vile viberenge havitangulii kucheki usalama kabla ya treni kusafiri?
Kama mvua imenyesha ilikuwa rahisi kwa stesheni kubwa zilizo na mvua kupiga patrol reli ya maeneo korofi ili kuhakikisha usalama
RIP kwa waliptangulia.
Wapone haraka mejeruhi wote.