Mkuu hiyo si bajaji, yakupiga kona hatua moja
Kweli mkuu njia inaonekana imeharibika na mvua hadi kokoto zimesombwa,je wakaguzi njia hwakuona hili?
Ubaya wa hii kitu bora ikiwa lite loco kuliko ikiwa tayari na mabehewa kitendo cha kuwa na speed hata ya 40km/hr huwezi kusimama ghafla vinginevyo ni balaa zaidi pale utakapo amua kufanya application ya EMERGENCY.
hii Reli ilitakiwa ifanyiwe replacement yote,kutokana na mabadiliko ya tabia nchi,umri wake etc ni death trap kwa sasa.Kwa jinsi inavyoonekana kwenye hizo picha tatizo ni njia,inaonekana njia kama imeharibiwa na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo hayo.Je TRC hawakagui njia maeneo hayo kabla ya Gari kupita>Pole kwa wafiwa na abiria wote waliopata ajali
kiberenge kinapita,madaraja dhaifu kutokana na umri, na kutoweza beba uzito mkubwa ndo tatizoKabla treni kupita kuna wakaguzi na kiberenge. Walikua wapi? Hao ndio wakunyonga sasa.
Halafu dhulma hailipi 5 tena ni dhulma tutakoma miaka hii. Janga juu ya janga ndio mwanzo tuu tumeanza nalo.
Mara nyingine kitu cha kushangaza si ajali zinatokea.Reli ina miaka mingapi?
Tuanzie hapo
Ni waziri kuwa treni ilijaribu kupita kwenye reli ambayo haikukaguliwa kama picha ya reli inavyoonesha! Viongozi wa shirika la reli lazima wawajibike.Nimepigiwa simu na mpwa wangu ambaye ni miongoni mwa abiria walionusurikana, kuwa treni iliyokuwa ikitoka Dar - Kigoma imepata ajali kilometa chache kutoka stesheni ya Dodoma.
Inasemekana watu kadhaa wamejeruhiwa na inadaiwa watu 3 wamepoteza maisha.
Naomba wahusika wafuatilie.
======
UPDATES:
10:05pm
Ajali ya treni iliyokuwa inatokea Dar kwenda Bara imetokea muda wa saa moja kasoro, Maeneo ya Zuzu Wilaya ya Bahi Jijini Dodoma Kati na Itiga. Taarifa za awali ni kwamba watu 25 wamejeruhiwa. Vifo hadi sasa ni Vitatu ambavyo ni Mfanyakazi mmoja wa treni na abiria wawili.
Shirika la reli limepeleka Mabasi kubeba abiria na Majeruhi na Wanapelekwa Dodoma kupata huduma ya kwanza hospitali ya General.
Abiria wote wanapelekwa Manyoni sababu kuna Treni ya abiria saa sita inatokea bara. Kwasababu haiwezi kupita sehemu ya ajali, abiria watapanda hiyo Treni iliyokuwa ikitoka bara kwenda Dar. Itageuzia manyoni na abiria Waliokuwa wanaenda Dar watapanda mabasi ambayo yamekwisha andaliwa.
Mvua imenyesha sana, kuna uwezekano kuna makalavati yamekatika.
Ajali ilipotokea ni Km 40 kutoka Dodoma.
Taarifa zaidi zinafuata.
PICHA:
View attachment 1666000View attachment 1666001View attachment 1666002
View attachment 1666017View attachment 1666018
Afadhali maana ukifa utaniacha na simanzi, simply pengo lako halitazibika.Mimi train kwa mara ya mwisho nimepanda mwaka 2005.Hapa Tanzania mimi sipandi train. Napanda TGV /high speed train nikiwa ma mbele.
Common senseNaona wataalam mshajua chanzo cha ajali.
Imesharekebishwa na wachina tayari,wako katika kumalizia mpaka Isaka.hii Reli ilitakiwa ifanyiwe replacement yote,kutokana na mabadiliko ya tabia nchi,umri wake etc ni death trap kwa sasa.
Really !Anyway nipo sana tutalea hadi vilembwe vyetu.Afadhali maana ukifa utaniacha na simanzi, simply pengo lako halitazibika.
Wachina vitu vyao si quality,sijui kwa nini tunawapa kazi. Hii kazi wangewapa Alstom au Siemens.Imesharekebishwa na wachina tayari,wako katika kumalizia mpaka Isaka.