Swali kwa swali.... Umeelewa swali?Umesoma vizuri?
Swali kwa swali.... Umeelewa swali?Umesoma vizuri?
Kuna watu akili ni za kuvukia barabara tu.Amekwambia kapigiwa simu na mdogo wake ambaye ni miongoni mwa abiria waliokuwemo. Bado unauliza chanzo cha habari. Serious??
Maweeeee😭
itakua ni hekima kama ukifuta hilo jina hapo.Poleni sana kwa waliofikwa na majanga haya .
msimuhusishe Magu na hili chanzo yaweza kuwa uchakavu wa miundo mbinu au uharibifu wa njia za Reli kwa kuiba vyuma na nondo.
Mungu azilaze mahali zinapohusika roho za marehemu
Umekurupuka tu, hata hujasoma maelezo ya mtoa mada. Hiii inadhihirisha ni jinsi gani ulivyomweupe kichwaniPlease leta chanzo cha taarifa yako.
Hizi habari za kufa kufa huwa zisipendi na mzito sana kuziamini.
Tunabana matumizi ya wese,siunajua viberenge vinatumia mafutaSiku hizi vile viberenge havitangulii kucheki usalama kabla ya treni kusafiri?