Baikoko, kibao kata, orgies, pool parties, kanga moja. Aisee vijana wa Dar kazi mnayo

Q-Bar ndiyo mara ya kwanza ktk maisha yangu niliona malay* live live wanajiuza tukiwaita Changudoa enzi hizo.
Tumefika tu na gari yetu wakatuvamia kwa vurugu wanaonesha what they got from their mama.
Tulikuwa na rafiki zetu wazungu tulikodi Hiace daladala nzima toka UDASA Club pale UDSM hadi Q-Bar.
Machok* pia walikuja kutuvamia.
Cha kusikitisha mzungu mmoja alivusha mzigo chok0 akaenda kulifukua mtar0 kwake Changanyikeni.
Way back 1999/2000 huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…