kila mtu ana njia zake, hakuna formula ya haya mambo pia!Leo nlifanikiwa kukutana na mke wa pasta nikiwa kwenye kufanya interview kama sehemu ya research yangu, akaniona na pete hizi za kununua akajua ni ya ndoa! Akaniuliza umeoa kijana nikasema bado, akasema nikajua umeoa maaana nimeona pete, akaendelea kuniambia usije ukaoa mapema enjoy life ukiwa kijana 35 utaoa! Nikamuuliza kwanini,,, akanijibu aliyetangulia usimbishie ubovu wa njia...nikasema ahsante nikaondoka.
Leo dada ukiniona sehemu nitag ujue huo uzi ni 🔥Hata matajiri wanapenda na wanahudhuria.
Tofauti Yao hizo baikoko haziko hadharani zinafanyika sebuleni na analeta msanii au kikundi, Malaya, mishangingi na mabasha.
Maskini wasisimangwe
Nafanya mazoezi, siku nikikuona isiwe big deal.kila mtu ana njia zake, hakuna formula ya haya mambo pia!
kwanini unanunua pete na kujivika?
duh kumbe ni big deal?Nafanya mazoezi, siku nikikuona isiwe big deal.
Niliupitia huu uzi mchana, jioni nikiwa sina kazi nitaingia huko telegram.Niko dunia ya kwanza sahv gentleman 😄
Nawasikitikia tu huko watu wanavyovamia na kuiga tamaduni ambazo hata haziwahusu
Sema siku nkiamka kichwa kibovu ntakupa location uende ukajione..watu wanavyonyanduana 😄
Ova
Bora hata umetuteteaHata matajiri wanapenda na wanahudhuria.
Tofauti Yao hizo baikoko haziko hadharani zinafanyika sebuleni na analeta msanii au kikundi, Malaya, mishangingi na mabasha.
Maskini wasisimangwe
Wazungu ndo mambo yao hayoQ-Bar ndiyo mara ya kwanza ktk maisha yangu niliona malay* live live wanajiuza tukiwaita Changudoa enzi hizo.
Tumefika tu na gari yetu wakatuvamia kwa vurugu wanaonesha what they got from their mama.
Tulikuwa na rafiki zetu wazungu tulikodi Hiace daladala nzima toka UDASA Club pale UDSM hadi Q-Bar.
Machok* pia walikuja kutuvamia.
Cha kusikitisha mzungu mmoja alivusha mzigo chok0 akaenda kulifukua mtar0 kwake Changanyikeni.
Way back 1999/2000 huko.
Kwa kwelii.Hata matajiri wanapenda na wanahudhuria.
Tofauti Yao hizo baikoko haziko hadharani zinafanyika sebuleni na analeta msanii au kikundi, Malaya, mishangingi na mabasha.
Maskini wasisimangwe
Kabisaaa!Vijana mkisikiaga Dar huwa mnahisi wote tunaishi mtaa mmoja nini? Kuna maeneo hata hatujuhi hayo mambo yanaendelea mjini hapa. Kuna mambo tofauti kabsa....
Sasa uma much know wako ndio utakufanya utumbukie kwenye kila starehe ambazo hata huko mikoani zipo bwerere ni kujua code tu...
Hapoo sasa.ukiamua kunarrow down shuhuli zako
hizo stor utaziskia jf tu
kazi-mazoezi-kanisani-nyumbani.
navionea wapi hiv visanga?
Kwaniniii??Nahisi kitu kigumu kwa dar, ni malezi ya watoto.
Hasa wale vipato vya chini na kati, ukicheza tu umekula hasara.
Siju hizi kinadada na kinamama wakikuelewa wanakutongoza wenyewe.Ku-survive kama kijana Dar bila ya kumezwa na ufuska uliopo karibu yako kama pua na mdomo inatakiwa iwe sehemu ya SKILL maalum katika resume'.
Adventure kwa mzungu ni kutembea kuona vitu na kujaribu vyakula na weather mpya ila adventure kwa mtu mweusi ili kuzifanikisha sexual fantasies zake kwa kila aina ya mikunjo😁
Usiku wa Vyombo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukitembea maeneo ya uswahilini kuna siku unaweza kukutana na watu wako uchi wa mnyama kama ilivyonikuta mimi....
Mimi kuna siku nilikwenda kumtembelea mfanyakazi wangu mmoja hivi mkongwe alikuwa mgonjwa, tunakatisha vichochoro tukakutana na mabinti wanapigiwa Ngoma wanakatika Huku wakivua nguo mchana kweupe, uchi wa mnyama kabisa, kama mwanadamu ikabidi na Mimi nisimame nikodoe macho kidogo na pale palikuwa Hadi na watoto wadogo nao wanashangilia, lile kundi linapita mtaa Kwa mtaa niliambiwa Wana kitu kinaitwa usiku sijui wa nini, It's very dangerous to raise a family there...Binafsi Yale mambo niliyaona Thailand but sio Open kama vile.
fun enough mi naishi hayo maeneo yanayotajwa hapo... ila sijawahi ona hizo mambo 10yrs nowUsiku wa Vyombo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo ya Tandika na Mbagala hayooo.
Nafikiri labda wee sio muhusika au huna kikundi kinachohusu hayo mambo.fun enough mi naishi hayo maeneo yanayotajwa hapo... ila sijawahi ona hizo mambo 10yrs now
buza-tandika ndo maeneo yangu
sijui huu ufuska unafanyikaga wapi
hata hivyo,
mambo hayo hua ni kwa muda tu, itafikia wakati utaona kawaida tu na ni jambo la kupoteza pesa, nguvu na wakati na kwahivyo utaacha na kuachia wengine 🐒
yaaa nahisi ni ndani ndani tandikaNafikiri labda wee sio muhusika au huna kikundi kinachohusu hayo mambo.
Mie niliwahi enda huko Tandika, kuna mates aunt yake alikua anaishi hapo, sasa siku tumeenda pale mchana ilikua weekend. Ndo tunasikia oooh baadae ni usiku wa vyombo kwa fulaaniii, na kuna kikundi kinatoka chanika, bas mates akaniambia tusirudi mjini, tusubiri nijionee hivyo vibwekaaa.
Tobaaaa!! Ilipofika huo muda, kwanza huingii bila ruhusa, yaani hadi uwe unahusika, sasa mie niliingia na mwenzangu kupitia aunt yakee,
Alooooh nilichokiona mule ndanii, nikajisemeaa kuna watu wamepinda afu wamepinda tenaa, ni kufuruuuuuuuu!! Sio kwa vile vibwekaaaa!!
Afu sasa kuna hadi watoto wamo humo, wanaingia na ndugu zao.
Nilichoka kwa kweli, kundi liliotoka huko chanika, kuna wadada wawili jamaniiii mweeeh!! [emoji119][emoji119] itoshe kusema wamejiziraaaaa.
Hivyo tuu.
Sana.duh kumbe ni big deal?