poleni sana wakuuTaarifa zilizokuja mda huu dereva kafariki hospital
Duh ilikuwa kubwa sanaTaarifa zilizokuja mda huu dereva kafariki hospital
kweli mkuu --- ila wengi wanafanyika katika mazingira ya risk sana mkuu --- hakuna bima, dereva hata leseni hana - kundi la aina hii ni kubwa kiasiAjali kazini... Vipi mambo yangeenda vizuri
Kaka inaelekea unachukia sana biashara ya usafirishaji kwa kutumia boda na bajaji maana ulishaanzisha uzi humu kuzikandia hizi biashara.. naona hayo majanga yamekupa point 3 kabisaAisee huku mtaani Kuna jamaa alinunua bajaji juzi akampa dereva bajaji amletee hesabu Leo asubuhi imepata ajali haitamaniki yaani ni ya kuuza chuma chakavu milion 10 zimeenda kizembe sana jamaa kawehuka mpaka Sasa anaongea peke yake tunamtuliza ila hatulii aisee na dereva taarifa iliyokuja mda huu amefariki hospital haamini kilichotokea kweli Kuna biashara sio za kufanya
Kila biashara on risks zake na siyo bajaji tu.mbona mabasi,malori, magari madogo,yanadondoka kila leo hivyo utasema ni biashara kichaa?hata nyumba unaweza kujenga leo kesho inapata ajali ya moto hivyo kila biashara on hasara zake.Aisee huku mtaani Kuna jamaa alinunua bajaji juzi akampa dereva bajaji amletee hesabu Leo asubuhi imepata ajali haitamaniki yaani ni ya kuuza chuma chakavu milion 10 zimeenda kizembe sana jamaa kawehuka mpaka Sasa anaongea peke yake tunamtuliza ila hatulii aisee na dereva taarifa iliyokuja mda huu amefariki hospital haamini kilichotokea kweli Kuna biashara sio za kufanya
Ni kwa sababu watu wanazioverate sana wakati kihalali ilitakiwa iuzwe milioni 3 tu.Hivi kwanini bajaji ni 10m?
Sio biashara kichaa,chochote unachoona mtu kafanya kikafanikiwa huwa ana take risk tu,iwe ni Hoteli,Duka,Tax,Boda,Bajaj n.k.hizo ni risks katika biashara na ukiziogopa hutakaa ufanikiwe kwenye maisha yako...Aisee huku mtaani Kuna jamaa alinunua bajaji juzi akampa dereva bajaji amletee hesabu Leo asubuhi imepata ajali haitamaniki yaani ni ya kuuza chuma chakavu milion 10 zimeenda kizembe sana jamaa kawehuka mpaka Sasa anaongea peke yake tunamtuliza ila hatulii aisee na dereva taarifa iliyokuja mda huu amefariki hospital haamini kilichotokea kweli Kuna biashara sio za kufanya
Kawa kama kichaa kkapasua Hadi tv yake mda huu
wenye mabasi ni wajanja sana likipinduka moja baada ya mwezi anapewa lingine na bima.Kila biashara on risks zake na siyo bajaji tu.mbona mabasi,malori, magari madogo,yanadondoka kila leo hivyo utasema ni biashara kichaa?hata nyumba unaweza kujenga leo kesho inapata ajali ya moto hivyo kila biashara on hasara zake.
Aisee huku mtaani Kuna jamaa alinunua bajaji juzi akampa dereva bajaji amletee hesabu Leo asubuhi imepata ajali haitamaniki yaani ni ya kuuza chuma chakavu milion 10 zimeenda kizembe sana jamaa kawehuka mpaka Sasa anaongea peke yake tunamtuliza ila hatulii aisee na dereva taarifa iliyokuja mda huu amefariki hospital jamaa haamini kilichotokea yaani Kawa kama mwehu kweli Kuna biashara sio za kufanya
Bajaj siyo biashara kichaa. Ajali ndo biashara kichaa.Aisee huku mtaani Kuna jamaa alinunua bajaji juzi akampa dereva bajaji amletee hesabu Leo asubuhi imepata ajali haitamaniki yaani ni ya kuuza chuma chakavu milion 10 zimeenda kizembe sana jamaa kawehuka mpaka Sasa anaongea peke yake tunamtuliza ila hatulii aisee na dereva taarifa iliyokuja mda huu amefariki hospital jamaa haamini kilichotokea yaani Kawa kama mwehu kweli Kuna biashara sio za kufanya
Ajabu mno.Yaani huwa naona ni over price. Sioni sababu ya bajaji kuuzwa hio bei.
asije shika kisu tu😁🤔Hapo anakosea muwahisheni hospital ana hasira za kimarekani