Bajeti moja ya barabara ya Rais Samia inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano iliyopita

Leteni Tume huru ya Uchaguzi , hakuna anekula barabara akashiba. Msitizunguwe
Mama alisema mtulie hakusema hamtapata so be patient mkuu,

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Leteni Tume huru ya Uchaguzi ,hakuna anekula barabara akashiba. Msitizunguwe
Naona wewe unakula tume na unashiba kabisaa
Tusipoacha kujidanganya na tume hakuna jipya. Tambua Kenya waliitoa Kanu bila tume huru. Zambia walimtoa Kaunda bila tume huru hata juz wakati wanamtoa yule chapombe Rais mpya MH. HIKAINDE alishinda kwa tume ileile.
Mpaka pale tutakapokuwa tayari na kuukubali ukweli ndio upinzani ufikirie kushinda
 
Sishangai maana waafrika ndivyo tulivyo
Tumefanya nini waafrica mkuu?

Bajeti moja ya barabara|madaraja & Viwanja vya ndege ya Rais Samia FY2021|22 inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano ya awamu ya tano​

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Bajeti moja ya barabara,madaraja na viwanja vya ndege ya Rais Samia FY2021|22 inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano ya awamu ya tano​

=================================
Kasi ya Rais Samia katika kuwaletea maendeleo Watanzani hawa masikini inatetemesha kama wanavyosema, Rais huyu katika kutambua ili nchi yeyote iendelee kwa kasi lazima iwe na miundombinu ya barabara iliyo rafiki na madhubuti, Rais tayari kwenye bajeti yake ya kwanza yaani FY2021|22 ametoa Tshs 2trilioni kwa ajili ya ujenzi wa barabara na madaraja, bajaeti hii ni sawa na ongezeko la 100% la Bajeti ya serikali iliyopita ambayo ilitenga Tshs 1trilioni FY2020|21

Kama gharama ya kujenga kilometa moja ya" lami" kwa kiwango cha kimataifa ni Tshs 1BL basi bajeti hii ya Rais Samia inaweza kujenga jumla ya kilometa mpya 2,000 za lami kwa mwaka huu mmoja wa fedha wa 2021|22 ikiwa ni sawa na 18.3% ya barabara zote km 10,941 zilizojengwa tangu uhuru, Nakama mwendo ni huu mpaka kufikia FY2030|31 barabara zote km 33,649 nchi nzima zitakuwa zimejengwa kwa kiwango cha lami,Katika historia ya nchi hii kama kuna mtu anatakiwa kuombewa kwa nguvu basi ni huyu Mama,

Hayati Rais Magufuli kwa miaka yake mitano alifanikiwa kujenga jumla ya km 1,004 hii ni kwamujibu wa National Bureau of Statistics (NBS), Kwa lugha rahisi Bajeti moja ya barabaraba ya Rais Samia inaweza kujenga marambili (X2) ya barabara zote zilizojengwa kwa miaka mitano mfululizo ya Serikali ya awamu ya tano (A comparative analysis )

VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA

View attachment 1963497
Registered May

Registered may 29, 2021

😅😅😅
 
Nasikia Serikali anawasiliana na watoa huduma wa Facebook na Instagram na Whatsapp kuhakikisha wanarudisha hewani hiyo mitandaoooo....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
sasa mzee baba alikuwa anafanya nini? taarifa za kupika ni hatari kwa uhai wa taifa
Mzee kafanya mambo makubwa sana ila kwenye barabara data ndio hizo,

Mama ni levels zingine kabisa mkuu,

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Hizo ni habari nzuri. Ila najiuliza tu, pesa zenyewe zinatoka wapi?
Boss, unajua mpaka sasa pesa zimekopwa, pesa zimetolewa na hakuna hata moja lililosemwa limeanza kutekelezwa? Zile za tozo tu wamesema zimeshasambazwa, ajabu waimba mapambio hawaoneshi kazi zilizoanza, wanaleta mipango na takwimu zao zisizo na ulinganifu wala mizania.

Pesa zinatumbukizwa kwenye mifuko yao mirefu isiyojaa.

Kazi iendelee
 
Bajeti moja ya barabara,madaraja na viwanja vya ndege ya Rais Samia FY2021|22 inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano ya awamu ya tano​

=================================
Kasi ya Rais Samia katika kuwaletea maendeleo Watanzani hawa masikini inatetemesha kama wanavyosema, Rais huyu katika kutambua ili nchi yeyote iendelee kwa kasi lazima iwe na miundombinu ya barabara iliyo rafiki na madhubuti, Rais tayari kwenye bajeti yake ya kwanza yaani FY2021|22 ametoa Tshs 2trilioni kwa ajili ya ujenzi wa barabara na madaraja, bajaeti hii ni sawa na ongezeko la 100% la Bajeti ya serikali iliyopita ambayo ilitenga Tshs 1trilioni FY2020|21

Kama gharama ya kujenga kilometa moja ya" lami" kwa kiwango cha kimataifa ni Tshs 1BL basi bajeti hii ya Rais Samia inaweza kujenga jumla ya kilometa mpya 2,000 za lami kwa mwaka huu mmoja wa fedha wa 2021|22 ikiwa ni sawa na 18.3% ya barabara zote km 10,941 zilizojengwa tangu uhuru, Nakama mwendo ni huu mpaka kufikia FY2030|31 barabara zote km 33,649 nchi nzima zitakuwa zimejengwa kwa kiwango cha lami,Katika historia ya nchi hii kama kuna mtu anatakiwa kuombewa kwa nguvu basi ni huyu Mama,

Hayati Rais Magufuli kwa miaka yake mitano alifanikiwa kujenga jumla ya km 1,004 hii ni kwamujibu wa National Bureau of Statistics (NBS), Kwa lugha rahisi Bajeti moja ya barabaraba ya Rais Samia inaweza kujenga marambili (X2) ya barabara zote zilizojengwa kwa miaka mitano mfululizo ya Serikali ya awamu ya tano (A comparative analysis )

VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA

View attachment 1963497
Hizo pesa ziko wapi mbona maneno matupu?
 
Pamoja na mapambio yote hayo na sifa za kijinga bado haieleweki mama anakusudia kutupeleka wapi, yaani hakuna mwelekeo.
Mapambio kama yale ya Jiwe kumbr hata barabara zilimshinda, ajira zikamshinda, maji yakamshinda? uchumi ukamshinda alichoweza ni kukimbizana na Chadema na internet tu.

Amekufa akiwa amechoka sana.
 
We coomer hio posho unayolipwa na kitengo cha praise team awamu hii usipojenga hujengi tena[emoji28]!!!

Naona maslahi mazuri maana daily hukauki humu na ngonjera za tumsifu!
[emoji855][emoji855]
 
We coomer hio posho unayolipwa na kitengo cha praise team awamu hii usipojenga hujengi tena😅!!!

Naona maslahi mazuri maana daily hukauki humu na ngonjera za tumsifu!
Mungu akusamehe Mkuu,

Huwezi amini hakuna mtu ananifahamu mimi si kwenye chama wala Serikali,

I want to show that a woman can also lead gently,

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Tumefanya nini waafrica mkuu?

Bajeti moja ya barabara|madaraja & Viwanja vya ndege ya Rais Samia FY2021|22 inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano ya awamu ya tano​

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
Na madam pia akiondoka atakaye kuja mtaweka takwimu za kubuni pia
 
Back
Top Bottom