Bajeti moja ya barabara ya Rais Samia inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano iliyopita

Mzee kafanya mambo makubwa sana ila kwenye barabara data ndio hizo,

Mama ni levels zingine kabisa mkuu,


#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
Njaa ishakupanda kichwani sasa karibia utaanza kuokota makopo.
 


zimeturudi tayari
 
Pamoja na mapambio yote hayo na sifa za kijinga bado haieleweki mama anakusudia kutupeleka wapi, yaani hakuna mwelekeo.
Tukubali sasa tupo njiapanda
 
Twaaaafwaaaaa
 
It was a syndicate sio bahati mbaya ndio maana vyombo vya habari vilipigwa ban,wapinzani ban na alitaka kufungua hadi hizi social media.

Alianza kutusaka sisi tuliokuwa kinyume.Unadhani zile kauli za kusema saizi ni zamu yetu nyie tulieni kwamba zilikuwa za bahati mbaya?

Walichagua miradi mikubwa ambyo ndio rahisi kupiga na kuwa fool idiots wengi wa nchi hii.
 


Stupidity,

SGR km 1,000 unajenga wewe?

SG Rufiji unajenga wewe?

Barabara kila kona unajenga wewe,

Mishahara watumishi unalipa wewe?

Ndege unanunua wewe?

Chanjo unaagiza wewe?

Meli unanunua wewe?

Elimu bure unatoa wewe,

Madarasa elfu 15 unajenga wewe?

Vituo vya afya 220 unajenga wewe?

Viwanja vya kimataifa ikiwemo Msalato unajenga wewe,

Bil 500 Za HESLB unatoa wewe?

Ajira elfu 56 unaajiri wewe?

Acha ukichaa tumia akili vizuri
 



Nakataa wewe sio kichaa
 
Acha umalaya wa kisiasa hizo sgr na miradi mikubwa yote pesa ilikuwa imetafutwa muda mrefu tu . Kipande kile wachina walikuwa tayari kwenye mazungumzo

Huyo ubayemsifia hakuna kitu cha maana kafanya kwa hii miezi na hakuna haki ya kujifanyaa mnaponda jpm mbwaa nyiee

Labda bi mkubwa tumpe muda anaweza kufanya vizur tu huko mbeleni
 
Tatizo ni ubora wa barabara hizo, pia madeni makubwa zaidi kwa raia maskini.
 


Nimegundua kuna mambo mengi sana wewe huyajui,

SGR ilisimama naona hauko informed nikuache,


#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Ahsante kwa kutujuza kuhusu bajeti na mipango kabambe ya awamu ya sita mkuu.

Naomba sasa tufahamishe tozo zetu zimefanya kitu gani kwa mtindo huu huu wa takwimu. Kwangu kuelezea kilichofanyika ni rahisi zaidi kuliko mipango.

Pia tumeambiwa na msemaji wa serikali, awamu iliyopita kuna wachache walijinufaisha na kodi, ni hatua zipi zimechukuliwa kuhakikisha hawatafuni tena pesa za umma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…