CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
- Thread starter
- #101
Hizi taarifa ni njema sana. Nadhani kwa sasa kilometa moja ya lami inaweza kwenda kwenye wastani wa angalau Billion 1.40. Wakati wa JPM ilikuwa kwenye wastani wa Billion 1.20. Kumbuka pia kuwa madaraja huwa yanakula zaidi ya hizo.
Hata hivyo bado Bajeti hii ya Mama inatisha sana, lakini pia JPM naye alitisha sana kwa wakati wake, na bado anatisha tu mpaka muda huu. Mungu aende na Mama kwa kishindo kikuu!
Mkuu Barabara stanadard ni 1BL,
MUNGU AMBARIKI MAMA YETU
😍😍😍😍😍