Bajeti moja ya barabara ya Rais Samia inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano iliyopita

Bajeti moja ya barabara ya Rais Samia inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano iliyopita

Hizi taarifa ni njema sana. Nadhani kwa sasa kilometa moja ya lami inaweza kwenda kwenye wastani wa angalau Billion 1.40. Wakati wa JPM ilikuwa kwenye wastani wa Billion 1.20. Kumbuka pia kuwa madaraja huwa yanakula zaidi ya hizo.

Hata hivyo bado Bajeti hii ya Mama inatisha sana, lakini pia JPM naye alitisha sana kwa wakati wake, na bado anatisha tu mpaka muda huu. Mungu aende na Mama kwa kishindo kikuu!

Mkuu Barabara stanadard ni 1BL,

MUNGU AMBARIKI MAMA YETU

😍😍😍😍😍
 
Hizi kampeni za 2025 zimeanza mapema sana, kwani kuna nini???

Unafahamu maana ya kampeni mkuu?

Sisi tunatekeleza Ilani yetu tu,

Natunatoa mrejesho kwa wananchi,

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Hayo akayafanye kwao Zanzibar. Kwani umeambiwa tumeshindwa kufanya wenyewe huku Tanganyika?

Hapo hakuna ukabila. Kila mtu akagombee kwao.

Mkuu naona unamatatizo zaidi ya huu mjadala,

Endelea na wengine Mimi No,
 
Mkuu Barabara stanadard ni 1BL,

MUNGU AMBARIKI MAMA YETU

😍😍😍😍😍
Halafu huyu wa sasa hawatamwibia fedha kama ilivyokuwa kwa JPM. Inasemekana JPM ameibiwa sana kwa sababu alikuwa akiwaamini watu ana-relax, akidhani kuwa hawatamuibia na akijua kuwa walikuwa wanamwogopa pia. Watu hapo sasa ndiyo walikuwa wanatumia saikolojia ya ile ya wakati wa JKT kwamba ukiona siku maafande wa JKT wamekuwa wakali sana kikosi kizima, hiyo ndiyo siku nzuri sana ya kukwepa kazi na kula chakula kabla ya wengine waliofanya kazi.
 
Halafu huyu wa sasa hawatamwibia fedha kama ilivyokuwa kwa JPM. Inasemekana JPM ameibiwa sana kwa sabau alikuwa akiwaamini watu ana-relax, akidhani kuwa hawatamuibia na akijua kuwa walikuwa wanamwogopa pia. Watu hapa sasa ndiyo walikuwa wanatumia saikolojia ya JKT. Ukiona siku maafande wa JKT wamekuwa wakali kikosi kizima, hiyo ndiyo siku nzuri sana ya kukwepa kazi na kula chakula kabla ya wengine waliofanya kazi.

😍😍😍😍😍 Yes,

Gerson Msigwa kasema yote ,Mzee watu walimpiga sana,
 
Mama Samia anafanya vizuri sana.
Ana huruna na binadam.

Ni mtanzania mpenda watu.
Kosa kake ni kuendeleza siasa za kipolisi zikizojaa chuki.

Hakuna Polisi anayependa kuona uovu kama ule wa mikataba ya Lugumi inawekwa wazi na kuibuliwa Bungeni na Wapinzani.

Hakuna Polisi na wanaCCM wanaopenda kuona wizi ukitajwa kuwa unasababishwa na watawala wanaoshindwa kuwajibika kwa umma.

Miaka yote Ripoti ya CAG inaonyesha kuwa kuna wizi kwenye wizara ya mambo ya ndani lakini CCM wanakaa kimya kwa sababu wanarudishiwa hisani wakati wa uchaguzi kwa kuwatumia polisi kubaki madarakani.

Kwa hiyo ni mchezo wa kubebana kati ya CCM wakati wa uchaguzi na Polisi kwenye mikataba mibovu ya manunuzi na kubambika watu kesi.

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Kama amemaliza mengine hili nalo litaisha tu,
 
Kila Rais ana vipaombele vyake,kama ni lazima kufuta wafute.

Kituo cha Mabasi wakati mnazindua si mlituambia kimekamilika na mkaalika Rais wa Malawi vipi tena mlisubiria Samia aje kuwakamilishia?

Hiyo ya Kibaha ni suala la tax na Kazi zilizoongezeka zimeongeza gharama ya ujenzi kwa hiyo serikali ilikuwa inajirishisha kabla ya kutoa pesa maana hamkawii kusema wameongeza bei Ili kupiga.

Mna midomo Sana nyie,mkuu tafuta kazi ya kufanya uzushi haitakusaidia.Kazi zinaendelea kwa kasi sana.

Mwisho Sio tuu bajeti ya Wizara ya imekuwa mara 2 bali ya Tarura imekuwa mara 3..Chief Hangaya Sio size yenu 👇

View attachment 1963609

😍😍😍😍😍
 
Huyu jamaa anakosea sana kumcompare huyu samia na magufuli.hiyo bajeti aliyoipitisha samia iliandaliwa wakati yupo magufuli.

Sasa ,acha kushoboka bila mantiki.
 
😍😍😍😍😍 Yes,

Gerson Msigwa kasema yote ,Mzee watu walimpiga sana,
I like the man Msigwa. Kuna uwezekano haitakuja kutokea Setikali nyingine tena katika Historia ya nchi yetu, itakayokuja kuibiwa pesa kama iilivyoibiwa hii ya JPM.

Halafu ni hatari sana kwa Serikali kuibiwa pesa kwa kiwango hicho kwa sababu wanaoiba hizo hela wanajenga nguvu ambayo inaweza ikaja ikawawezesha siku moja hata kufanya mapinduzi. Kumbuka kuwa kwenye wizi huo unaweza kuwemo pia mtandao wa watu wengine ambo si raia wa nchi hii, au watu wanaofadhili pesa watu kwa ajili ya kuishi nje ya nchi, watu hao wakiwa kwenye harakati za kufanya mkakati wa kuja kuchukua madaraka ya nchi baadaye
 
Chema chajiuza kibaya chajitembeza. Mnatumia nguvu nyingi kumtangaza. Mwambie achape kazi
 
Huyu jamaa anakosea sana kumcompare huyu samia na magufuli.hiyo bajeti aliyoipitisha samia iliandaliwa wakati yupo magufuli.

Sasa ,acha kushoboka bila mantiki.
😆😆😆😆 Iliandalowa eeh,Mbona mnamuita bibi tozo? Kwa nini msimuite hivyo yule jamaa yenu?

Mnaweweseka na kuteseka Sana.

Hapa shilling inazidi kuimarika,soma sababu 👇

Screenshot_20211005-130647.png
 
Back
Top Bottom