Bajeti moja ya barabara ya Rais Samia inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano iliyopita

SASA kuna kigeni hapo zaidi kiburi cha Tozo tunazokamuliwa si ndio zinajenga hizo barabara.

Nachojua Mimi Ni kwamba Awamu hii tutegemee miradi mingi kujengwa chini ya Kiwango na pia nje ya wakati

There's a mass lack of effectiveness in this regime
 
Hiyo hela inayoenda kulala pale ni pesa ndefu sana na tusipokuwa makini uenda miaka 30 ikapita hatujapata chochote zaidi tukiomba taarifa za mapato tunaletewa negative.
 
Kwaya yetu ya kusifu na kuabudu
 
Ngonjera zasiasa bana,

unaweza zani ni nikweli.

[emoji2095][emoji309]
 
Sisi tupo huku Mwanza hizo lami zulizojengwa mwaka huu mbona hatuziona au zinajengwa Dar tu.
 
Barabara ya njia nane kutoka Kimara mpk Kibaha mumeshindwa kumlipa mkandarasi, wananchi wanapigwa vumbi barabara ya kutoka Na kuingia Stand ya Mbezi sbb ya ukosefu wa fedha Leo mnapraise ushubwada! Acheni kudemka, twambieni wapi mnatifua ardhi kuweka pavements?
 
SASA kuna kigeni hapo zaidi kiburi cha Tozo tunazokamuliwa si ndio zinajenga hizo barabara.

Nachojua Mimi Ni kwamba Awamu hii tutegemee miradi mingi kujengwa chini ya Kiwango na pia nje ya wakati

There's a mass lack of effectiveness in this regime

Hiyo lack of effectiveness unaipima wapi?

Kama watu wanakusanya 5.4trl kwa miezi 3,

Watu wanakuza uwekezaji kwa 400%

Watu wanaanzisha Universal Insurance for all nchi nzima,

Watu wanapanga kutumai 36.33trl kwenyse bajeti,

Tumieni akili zenu vizuri nyie thinkers
 
Hii sio kweli mkuu,

Ufafanuzi unakuja,
 
Mwanza sehemu gani?
 
Leteni Tume huru ya Uchaguzi , hakuna anekula barabara akashiba. Msitizunguwe
Kwani uchaguzi unakupa lishe? Watakao chaguliwa hata wakiwa wa chama chako, wakishafanikiwa hawakujui tena
 
SASA kuna kigeni hapo zaidi kiburi cha Tozo tunazokamuliwa si ndio zinajenga hizo barabara.

Nachojua Mimi Ni kwamba Awamu hii tutegemee miradi mingi kujengwa chini ya Kiwango na pia nje ya wakati

There's a mass lack of effectiveness in this regime

🚮🚮🚮
 
BARABARA YA MBAGALA NZASA MPAKA KWA MPALANGE IMESIMAMA ZAIDI YA MIEZI 3 WAKATI JPM ALIACHA FEDHA ZOTE ZA UJENZI, HALAFU UNALETA UONGO HAPA??????????
 
Wewe mtu ni mzalendo sana aise,

Hongera sana Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…