Bajeti moja ya barabara ya Rais Samia inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano iliyopita

BARABARA YA MBAGALA NZASA MPAKA KWA MPALANGE IMESIMAMA ZAIDI YA MIEZI 3 WAKATI JPM ALIACHA FEDHA ZOTE ZA UJEZI, HALAFU UNALETA UONGO HAPA??????????


Wakandarasi wako Site na jana gari yao imepata ajali,

Mpalange sio mtu mzuri
 
Nasikia Serikali anawasiliana na watoa huduma wa Facebook na Instagram na Whatsapp kuhakikisha wanarudisha hewani hiyo mitandaoooo....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakyanan nimecheka kishenz nilivyo msikia yule manara wao anaongea huu upupu na Media zinashadadia kabisa.


HOVYOOOOOO
 
Hiyo hela inayoenda kulala pale ni pesa ndefu sana na tusipokuwa makini uenda miaka 30 ikapita hatujapata chochote zaidi tukiomba taarifa za mapato tunaletewa negative.
Kwani serikali ndio inalaza hiyo pesa au wawekezaji?

Alafu extraction ni tofauti na production ,hapo ni viwanda vya kuzalisha gas ndio vitajengwa kwa hiyo kodi iko pale pale sio sawa na mgodi kwamba mtu anatafuta akipata hadi arudishe gharama zake.

Hata ikiwa hivyo unavyosema bado multiplier effects za kuwekeza dola bil.30 zitakuwa kubwa kwenye uchumi wa nchi.
 
Umepaniki ndugu, pole pole.

Ungependa tuzungumzie miradi ipi labda, ya kipindi cha kwanza cha awamu ya tano au kipindi cha pili cha awamu ya tano?

Hiyo miradi yote uliyoorodhesha, ainisha upi umeanza baada ya March 2021 na ipi ilikuwepo!

Hayo mengine kama kuna hata moja ni tangible mpaka sasa, ukiacha kulipa mishahara, njoo na mifano hai.

Madarasa yanayojengwa, 15,000 yanajengwa wapi? Ujenzi umeanza lini?

Barabara kila kona, ni kona gani hizo? Kuna mikoa ina barabara moja tu ya lami ya maana, Dar peke yake hakuna hizo barabara kila kona.

Mpaka sasa kuna ajira ngapi mpya zimetolewa ukiacha hizo za kuziba mapengo yaliyokuwepo kutokana na kustaafu, vifo, magonjwa, kuacha kazi, kutumbuliwa kwa vyeti feki n.k?

Chanjo mmekopa, ndege zimenunuliwa, tumeziona, HESLB si kweli, kuna madogo wengi hawana mikopo, hizo pesa mmewapa wakina January?

Vituo hivyo vya afya vinajengwa wapi? Ujenzi unaanza lini?

Airports, Meli, Bwawa ni vitu vilivyo kwenye utekelezaji tu, kama mtashindwa kuviendeleza kama mlivyotelekeza Stendi, barabara ya moro na moroco, mje mtupe sababu pia.

Zaidi ya hapo, nilisikia wanasema fikra pevu na ukada ni mbingu na ardhi.
 
Chawa kama chawa washaanza ,

Wanaumendea Tu mgongoni Kwa Rais ili wapate teuzi na mishahara minono minono

Hata wote waliopita walisema hivyo hivyo Ila wakienguliwa kwenye nyadhifa wanaanza kubwela bwela

Tanzania hii inamengi sana
 
Huyu jamaa anakosea sana kumcompare huyu samia na magufuli.hiyo bajeti aliyoipitisha samia iliandaliwa wakati yupo magufuli.

Sasa ,acha kushoboka bila mantiki.



Unanimcompare na wewe?

Hata Hayati Magufuli tulimcompare na Mzee Kikwete shida iko wapi?


Mnafahamu maana ya Comparative advantage au analysis?


#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Ni kweli kabisa .
Kuna kundi dogo ndani ya CCM ,serikali na vyombo vya dola ambalo lilifanikiwa kukwapua Mali za umma kwa mgongo wa kuua upinzani .
Kwao maendelea na amani ya nchi ni kukosekana MTU wa kusema wazi wizi wa watu waliopewa dhamana.

Yaani kundi dogo ndani ya serikali na vyombo vya dola wakiona upinzania umefutika kwao ndio maeneleo mana hakuna tena wa kuishinikiza serikali.
Kumbe maendeleo yao binafsi ndiyo maendeleo ya nchi.
Maisha yao ya anasa ndiyo maisha bora ya watanzania.


Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Chawa kama chawa washaanza ,

Wanaumendea Tu mgongoni Kwa Rais ili wapate teuzi na mishahara minono minono

Hata wote waliopita walisema hivyo hivyo Ila wakienguliwa kwenye nyadhifa wanaanza kubwela bwela

Tanzania hii inamengi sana


Sawa kama mimi Chawa wewe kunguni,

Awamu ya sita ni fact tu hatutaki propaganda kabisa,

Mtajua hamjui tu
 
Walamba buti a.k.a wasifiaji wameshaanza!
 
Sawa kama mimi Chawa wewe kunguni,

Awamu ya sita ni fact tu hatutaki propaganda kabisa,

Mtajua hamjui tu
Yaani nyie walamba fiatu siyo kabisa

Unasifia weeeee mpaka Radha inapotea AWAMU sita unasema hamtaki hamtaki propaganda hiyo fact wewe unafanya nini

Wewe sema unasambaza Tu kilichowekwa huna lolote lako akitokea kesho karudisha tozo bado utasifia

Mwl nyerere aliposema Malaya Malaya hakukosea
 


Nani kakuzuia kusifia?

Unataka wote tukosoe?

Jenga hoja acha kulalamika kama yatima,
 
Umepanic Sana sio kwa hili povu.

Miradi iliyoanza ni mingi Sana mfano airport ya Dodoma,logistics centers za kurasini na Ubungo,mabarabara nenda website ya Tanroads na Tarura watakuorodheshea..

Anauliza madarasa yanajengwa wapi? 😆😆 Una akili kweli wewe? Tembelea shule mbali mbali zenye upungufu utakuta ujenzi unaendelea..mimi Niko naweza kukupatia picha za ujenzi wa barabara na madarasa ukitaka.

Vituo vya afya Serikali ilishatoa orodha ya kata ambako vituo vinakojengwa sasa ni kazi yako kwenda au uwe unaangalia TV utaona..Juzi tuu hapo nimeona DC wa Serengeti,RC wa Mwanza na DC wa Handeni wakizimdua ujenzi wa vituo vya afya na ngoma juu wananchi wakifurahia,sasa wewe unaishi nchi gani?

Chanjo ni bure acha kupotosha,zinatolewa chini ya Mfuko wa covax wa kusaidia Mataifa maskini..Na awamu ya pili inakuja kutoka China wame donate yao hakuna shilingi iloyotoka kununua chanjo.

Watoto wote wenye vigezo wamepata mikopo bila kujali ukisoma shule gani,hao waliokopa hawana sifa kama wanazo wataje hapa .. Serikali haigawi fedha inatoa ikopo kwa wastahili.

Kuhusu ajira na kupandisha madaraja watumishi ndio usiseme ,maelfu ya ajira zimetolewa kuanzia walimu,manesi,madaktari,mapolisi,uhamiaji nk hizi ni zile kada zinaajiri mass employment lakini ajira kwenye sekta zingine zinaendelea kila siku tembelea tovuti ya utumishi utaona..

Mwisho ilikuaje miaka yote 6 hakuna hata mradi mmja mlikamilisha? Mlikuwa mnamsubili Samia?

Tunakamilisha miradi yenu na tunaanzisha mipya mingi zaidi tena yenye tija sio ya kukurupuka kama yenu.
 
Tusiangalie Bajeti tusubiri kuona kinachofanyika na hio Bajeti...., Inawezekana hizo Bajeti badala ya kujenga miundombinu zikajenga matumbo ya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…