Bajeti mpya itawaumiza watakao agiza magari ya engine (ICE) ila imewapendelea watakao agiza magari ya umeme (EV)

Mweshimiwa! Siyo hivyo. Tatizo hapa TZ kila mtu anajifanya much know. Solar system ina mahesabu yake. Na Mchina amerahisisha kiasi kuna all in one ambazo unapachika panel na kutoa umeme. Bei ya system ni rahisi Siku hizi, ila kabla ya kununua vifaa, waone wataalam wakupigie mahesabu, hutajuta kuwa na solar
 
Jambo zuri sana hili, wafanye na solar equipments tax free, technology ya magari ya umeme imekua sana na bei zinaendelea kushuka, mimi naendesha gari ya umeme 100%, maintenance na fuel ni kama bure tuu, nawashauri mnunue magari ya umeme
Tupe experience umeme unit kwa kilomita
Mfano kilomita 100 unatumia umeme wa sh ngapi au unit ngapi?
 
Kuna umeme wa kuaminika muda wote? Hili ndilo tunatakiwa kujiuliza.
 
Sasa hivi nchi nyingi hasa za Afrika, kuna bidhaa za chini ya kiwango nyingi sana kutoka China. Mwonekano wakati bidhaa ikiwa mpya ni nzuri kweli kweli. Tumia siku mbili uone....
 
Jambo zuri sana hili, wafanye na solar equipments tax free, technology ya magari ya umeme imekua sana na bei zinaendelea kushuka, mimi naendesha gari ya umeme 100%, maintenance na fuel ni kama bure tuu, nawashauri mnunue magari ya umeme
Kwa uchumi wa mkulima mdogo gari gani la umeme linaweza kumfaa bajeti ikiwa 30+ ?
 
Tupe experience umeme unit kwa kilomita
Mfano kilomita 100 unatumia umeme wa sh ngapi au unit ngapi?
My battery capacity around 79 kWh, napata around 310 miles, nachaji mostly night time umeme ni very cheap (10 cents/kWh or less) naendesha almost all week for less than 15$, Tanzania itakuwa cheaper zaidi, current rate kwa bongo around 240 shillings/kWh , kwa gari yangu around 80kWh utatumia 240 x 80 =19,200 almost 500 KM, hiyo ni enough range kwa wiki nzima kama huendi mikoani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…