makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
Mkuu kuna vitu kama vi3 hivi, hili la bidhaa kupungua ubora sikupingi, jembe ubora umeshuka, unajua sababu ni nini..Technolojia zote za kisasa ni mtego wa Kiuchumi
Jembe la Mwaka 2000 na Jembe la Mwaka 2026 utashangaa, la 2026 unalipindisha na kulivunja kwa mikono yako.
Kwenye Sola ndio usiseme, stori za sola zinavutua Sana, vifaa vinavyotumia sola stori zake na specs zake zinavutia Sana, ukishafanya Installation ndio utagundua Umepotea, mara utaambiwa shida ni Betty ndoto haitunzi Moto, baadae utaambiwa Sola Panel yako ni nyembamba, utaongeza idadi ya pannels, baadae utaambiwa Shida Mvua, mwanga haitoshi then utaambiwa unajua wewe Sola yako umeilaza Sana😅😅😅
🤔🤔🤔🤔Ilo nalo linawezekana. Ukakuta maumivu bado yapo. Na ukichukulia gharama za bandari hazipo public kama TRA
Chief ni gari gani hilo, unatumia umeme wa kiasi gani kujaza full na unatembelea km ngapi?Jambo zuri sana hili, wafanye na solar equipments tax free, technology ya magari ya umeme imekua sana na bei zinaendelea kushuka, mimi naendesha gari ya umeme 100%, maintenance na fuel ni kama bure tuu, nawashauri mnunue magari ya umeme
Nissan leaf mkuuKwa uchumi wa mkulima mdogo gari gani la umeme linaweza kumfaa bajeti ikiwa 30+ ?
mkuu we jf sio mgeni, usije pigwaa hahaInapendeza tuzichange
Nje ya MADA,Hivi zile pic mchana ni wewe yule?
Huenda wakapunguza,Nimesikia chinese BYD wana magari mazuri durable kuliko Toyota for less than 10,000 dollars lakini mpaka Dar probably double, lakini hii taxes zilizofutwa zitasaidia sana
Canter gani hiyo inatumia umeme?Juzi nilikutana na kenta inaenda kama haiendi
Hahahaha,sawa sawamkuu we jf sio mgeni, usije pigwaa haha
Sio kwa CARTELS wa nchi hii, kumbuka sekeseke la CEMENTLabda Dangote akileta refinery hapo Tanga. Tuuziwe Lita 1 Tsh 65 kama Libya.
Asante kwa maelezo ya kutosheleza na uzoefu wako piaMkuu kuna vitu kama vi3 hivi, hili la bidhaa kupungua ubora sikupingi, jembe ubora umeshuka, unajua sababu ni nini..
Mie naamini kuongezeka kwa watu na uwepo wa material husika..
Mfano sie tunakuwa nyumbani kulikuwa na mandoo fulani hivi ya bati/chuma aisee zile ndoo zilikuwa zinadumu ni kama aluminium fulani hivi, sasa jiulize kwa watu wa sasa itahitajikq aluminum kiasi gani kutengeneza ile ndoo, ukitaka kitu quality lazima ugharamikie zaidi
Sasa hivi bati, nondo etc, ubora wake mdogo, naona wanatengeneza kwa ubora mdogo ili "TUPATE SOTE" wenye pesa wachache ndio watapata vya quality kubwa
Kuhusu solar, mie naiunga mkono,
Solar ni muhimu na bora, shida inakuja kwenye vifaa ukipata vifaa vizuri unasahau kabisa, lakini ni bora uwe na betri ya LITHIUM kuliko hizi za kawaida.. haya ya kawaida ya sundar umedumu nayo muda mrefu saaana ni miaka mi5 hivi, na ila hata ukitoboa miaka mi5 bado hakuna tabu..
Nilikuwa na kioo cha watts 200 kisha nina betri la N150 aisee, taa za nyumba nzima nawasha, tv ya solar inch 32 naangalia bila tabu, nachaji simu na mchana ule nawasha friji la solar.. ikiingia jioni natizama tv hata mpaka saa 6 ama saa 7 mara nyingi ilikuwa saa 5 kipindi kile cha filamu ya ertugrul bey, ikiisha nazima tv, hapo taa zinawaka nyumba nzima mpaka kuchee.
Nilikuwa naepuka matumizi ya inverter nilinunua haya ma inverter ya 35 elfu aisee, inanyonya betri vibaya sana na inaua betri pia
Niliishtukamkuu we jf sio mgeni, usije pigwaa haha
nawazingua madogo haha, nao wakawa wanakuja PMHahahaha,sawa sawa
hahaha! madogo wamekuja PM kama nyukiNiliishtuka
Hahahaha kwa picha zile lzm waje kwa speed kubwahahaha! madogo wamekuja PM kama nyuki
hahaha! watakuja okotwa kama panzi kwa tamaa zaoHahahaha kwa picha zile lzm waje kwa speed kubwa
Umewarusha roho vby sananawazingua madogo haha, nao wakawa wanakuja PM
Hahahaha,wawe makini aiseehahaha! watakuja okotwa kama panzi kwa tamaa zao
hahaha! na wao wapambane kwa wanavyo lalamika, pisi kama ile hawana uwezo wa kuhudumia wala kuivua chupi, demand pale ni kubwa kuliko supplyUmewarusha roho vby sana
😅😅 vijana humu wanapenda sana chini, ila wanakwama wapi sijuiHahahaha,wawe makini aisee
Pisi Ile lzm mfuko utoboke, Ijumaa mchana apate biriyani, Jioni umtoe out, bado Mambo madogo Madogo vocha,brutalhahaha! na wao wapambane kwa wanavyo lalamika, pisi kama ile hawana uwezo wa kuhudumia wala kuivua chupi, demand pale ni kubwa kuliko supply