Bajeti mpya itawaumiza watakao agiza magari ya engine (ICE) ila imewapendelea watakao agiza magari ya umeme (EV)

Pisi Ile lzm mfuko utoboke, Ijumaa mchana apate biriyani, Jioni umtoe out, bado Mambo madogo Madogo vocha,brutal
watafute hela kwanza, ile sio ligi yao hahaha!
biriyani watoto wa udsm hapo, yule kidogo kakuonea huruma atataka mandi alafu sehemu anayokuchagulia umepelea lazima ukapasuke 😅😅 kuna manzi wao wameisha jiweka wapo kupasua mifuko ya watu
 
Niliwahi jichanganya sehemu,kmmk alitaka lunch,aisee mpk maongezi yanaisha ilikua ishaenda km 85k hv ,hapo bado hajarudi kwao
 
Vipi range haibadiliki kulingana na foleni na umri wa battery?
 
Hii mpya.
Inaitwa write off kwa sababu ya battery pack, battery zake ni very expensive na kampuni nyingi wanazitengeneza ili zisiwe repaired.

Kuna Idea kuwa gari ya umeme ni cheap kuliko fossils, hili sio kweli, gari ya umeme ni cheap only kama unachaji kwako other wise kama unatumia kwenye charger za uma ni very expensive
 
Vipi range haibadiliki kulingana na foleni na umri wa battery?
Iko wazi. Kama simu tu. Mpya inakaa na chaji masaa 12. Baada ya mwaka masaa 7. Ivo ivo hadi inafika muda unatembea na chaja kila sehemu
 
Kumbe hatukutafuta kujua HS codes za magari yenyewe. Wamepunguza kwa magari ya kubeba abiria hili wafanye biashara zao vizuri
 
Yeah. Mi nimeona Leaf ya 2019 inaweza kutoka Mil 10 hadi Mil 7. Na haya ni makadirio, inaweza kua hadi Mil 6.5 hivi.

Sahahu. Nimesoma HS Codes zilipewa punguzo ni za magari ya abiria. Ushuru wa EV sisizo za abiria umepanda sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…