Bajeti: Wizara ya Maji yapewa 11%, mambo ya ndani yapelekewa 228%

Bajeti: Wizara ya Maji yapewa 11%, mambo ya ndani yapelekewa 228%

Duniahadaa

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2017
Posts
336
Reaction score
677
Untitled-1.jpg
 
Hiyo bajeti ya mambo ya ndani lazima iwe kubwa, ina kazi nyingi zikiwemo; kuwapeleka wale walevi kwenye mkutano wa Mbowe na kuwahakikishia ulinzi, kuwanywesha gongo, kuwasafirisha kwa lorry kama wakimbizi wa somalia, na kuwapa kifuta jasho baada ya kumaliza ile kazi.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulifikiri Corona itatusaidia lakini kashtuka anasalimia watu kwa mateke

Ee Mungu tumekukosea nini sisi Watanzania
Lakn utambue ya kwamba kila amuombeaye mwenzie baya kamwe haliwezi kutimia Bali hilo baya unalomuombea mwenzio huwa linaanzia kwako. Kwahyo tafakari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah,hii yote ni jamaa kujihakikishia anabaki madarakani hata akishindwa!
 
Back
Top Bottom