We acha tu lakini sio mbaya angqi anaogipa kifoTulifikiri Corona itatusaidia lakini kashtuka anasalimia watu kwa mateke
Ee Mungu tumekukosea nini sisi Watanzania
Utakuja mwingine wa kisulisuli. HachomokiKama ule upepo wa Ruangwa ulimuacha salama, usitegemee lingine.
Msitegemee kero za wananchi za maji ziishe, matatizo ya wananchi ndiyo mtaji wa CCM.
Bunge lijalo 90%ya wabunge watakuwa wa CCM hakuna atakaehoji chochote Bungeni.
Miaka ya mwisho ya utawala wa Mobutu, ni jeshi na walinzi wa rais ndiyo waliongezewa mishahara. Lakini walishindwa kumlinda.It is endeed very sad how our government operates....wizara ya mambo ya ndani inapewa 228% ikiwa ni ongezeko la 128% zaidi ya bajet iliyopangiwa wakati wizara nyingine zikipewa kiduchu...hata haipendezi ni wazi bajeti haiakisi uhalisia wa mambo...
Heri wangevaa glovesTulifikiri Corona itatusaidia lakini kashtuka anasalimia watu kwa mateke
Ee Mungu tumekukosea nini sisi Watanzania
Kalagabaho.Wizara ambamo wezi wote wanajificha ndio nyeti....hahhaaaa. Magufuli mwoga sana. Amewahonga wazee wote wa vitengo wamuunge mkono. Si anafanya maendeleo na anapendwa na wanamchi??
Wale walevi mliowapa viroba vipi mshawalipa deni lao la kuzomea.Mmemalizana na mwenyekiti wenu aliyezomewa na wazalendo
Enzi za chama kimoja bunge lilikuwa na nguvu kuliko hata sasa. Wabunge walikuwa wanashikilia shilingi bajeti zisipite. Leo imejazana mipinzani hovyo humo.kazi yao kupinga tu.Msitegemee kero za wananchi za maji ziishe, matatizo ya wananchi ndiyo mtaji wa CCM.
Bunge lijalo 90%ya wabunge watakuwa wa CCM hakuna atakaehoji chochote Bungeni.
Hawatahoji chochote ila ikifika mwaka 2024 haohao watafikia hadi hatua ya kumtukana Rais bungeni. Ndiyo ujue walikuwa na mengi wameyabeba.Msitegemee kero za wananchi za maji ziishe, matatizo ya wananchi ndiyo mtaji wa CCM.
Bunge lijalo 90%ya wabunge watakuwa wa CCM hakuna atakaehoji chochote Bungeni.
You arw very correct; we are suffering the quencequensesKuulinda udikteta ni gharama sana bila pesa huwezi ulinda
Mbona hata sasa bunge ni la chama kimoja??? Limejaa mafisi tu.Enzi za chama kimoja bunge lilikuwa na nguvu kuliko hata sasa. Wabunge walikuwa wanashikilia shilingi bajeti zisipite. Leo imejazana mipinzani hovyo humo.kazi yao kupinga tu.