Bajeti: Wizara ya Maji yapewa 11%, mambo ya ndani yapelekewa 228%

Bajeti: Wizara ya Maji yapewa 11%, mambo ya ndani yapelekewa 228%

Kwani ccm inaenda kuanzisha vita?
Tunaelekea Uchaguzi mkuu, ulinzi na usalama ni jukumu la kwanza. Bila amani hayo mengine yote yatakuwa hayana umuhimu sana. Kulinda amani ya taifa hili inahitajika gharama na gharama zenyewe ndio kama hizo.
??
 
J2amii forum ni home of thinkers lakin nimepitia thread zote kwenye hii mada nimegundua watu wako kishabiki sana hakuna ata analysis ya data hapo.
1.mleta mada source ya taarifa
2.kama ni kweli kwanini wizara ya mambo ya ndani ipewe pesa nyingi
3.mi aweza kusema ni udharura uliokuwa kwenye wizara hii kipindi hiki cha nusu mwaka. mfano wa kuzima lain kila mtanzania alikuwa hana kitambulisho hivo watakuwa walitumia rasilimali nyingi sana kuendesha zoezi ili.
4. ununuzi wa vitendea kazi kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi
5.uchaguzi mdogo wa serikali za mitaa lazima kulinda amani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom