Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,746
- 5,772
Mh... Yule jamaa wa Act wazalendo nae CCM?Mbona hata sasa bunge ni la chama kimoja??? Limejaa mafisi tu.
Mh... Yule jamaa wa Act wazalendo nae CCM?Mbona hata sasa bunge ni la chama kimoja??? Limejaa mafisi tu.
Kupanga ni kuchagua kachagua korona badala ya nazi.Kisha tunazilaumu mamlaka za maji za mikoa na wilaya kutofikishia wananchi maji safi na salama...
Africa is for Africans....
Bora hata ingesemekana
Wizara ya Elimu sababu ya kuongezea mikopo wanafunzi,
au Afya kuajiri watumishi au kujikinga na CORONA,
au Miundo mbinu kukagua madaraja...
Au ndiyo wamenunua tena uniform, na kufunga fingerprinting mpya??
Everyday is Saturday..................😎
Tanzania is doomed
Udikiteta ni gharama lazima uwekeze kwenye vyembo vya kukulinda. Full kuhangaika. Amani huna unaishi kwa nguvu ya vyombo.Kwa hiyo priority ni wavaa uniform? ndo maana bei ya nyama buchani imefika elf 10, maji ndoo 500, mchele 2500, sembe 2000, umeme haukamatiki, kupata huduma zinazoridhisha za afya ni bahati na sibu nk. sababu siyo vipaumbele, kipaumbele naona ni kulifanya hili geshi retu riwe imara zaidi...
If succeede next term will be worther than,You arw very correct; we are suffering the quencequenses
11% hii ni mishahara ya watumishi kwemye wizara hiyo. Na posho mbali mbali hapo kinachoenda ni 1-2% only.Kwa hiyo tunapoambiwa miradi inashindwa kumalizika itabidi tukubali tu...coz hiyo asilimia wizara inazopewa zinaishia kwenye kuendesha ikiwemo kulipa mishahara tu...
Ndio maana wizara ya afya inadhindwa hata kuajiri kutoka na na ufinyu wa fedha hali kana kwamba inaupungufu mkubwa wa wafanya kazi...hospitali hazina vifaa tiba..etc..
Wizara ya kilimo mpaka leo haijamaliza kulipa deni la korosho...
Asante mama Tanzania!!!
We are in trouble. Uzuri ni kwamba mimi binafsi hata ndoo ya maji ikiuzwa 10,000/= unga kilo 5000/= na umeme unit 1000/= bado mimi nitasurvive tu hapa povu linanitoka kwa sababu sio mbinafi napiga kelele kwa ajili ya watanzania wengine. Mimi ni mzalendo kuliko huyo Magufuli.If succeede next term will be worther than,
Thus uchumi ukafa sababu wabunge wa chama kimoja angalau hawa wapinzani wanawaamshaEnzi za chama kimoja bunge lilikuwa na nguvu kuliko hata sasa. Wabunge walikuwa wanashikilia shilingi bajeti zisipite. Leo imejazana mipinzani hovyo humo.kazi yao kupinga tu.
Hata mm I think about others. Huyo jamaa ana PhD ya fully inner selfishnesh ajali kuhusu humanity furahaa yake ni kuona machozi na maumivu ya wengineWe are in trouble. Uzuri ni kwamba mimi binafsi hata ndoo ya maji ikiuzwa 10,000/= unga kilo 5000/= na umeme unit 1000/= bado mimi nitasurvive tu hapa povu linanitoka kwa sababu sio mbinafi napiga kelele kwa ajili ya watanzania wengine. Mimi ni mzalendo kuliko huyo Magufuli.
Mmemalizana na mwenyekiti wenu aliyezomewa na wazalendo
Lumumba mnapoona hoja nzito huwa mnatapatapa kama hivi!Jadili bajeti ndio hoja iliyoko mezani!Kwani da'Mange anasemaje?
Hao majority ambao ni CCM wanashindwaje kuisimamia serikali?Ni lini wabunge wa CCM wameshindwa kupitisha jambo bungeni kisa wapinzani?Siku mkeo akipewa mimba nje ya ndoa utasema wapinzani ndio sababu!Enzi za chama kimoja bunge lilikuwa na nguvu kuliko hata sasa. Wabunge walikuwa wanashikilia shilingi bajeti zisipite. Leo imejazana mipinzani hovyo humo.kazi yao kupinga tu.
Mbona hujibu swali?Lumumba mnapoona hoja nzito huwa mnatapatapa kama hivi!Jadili bajeti ndio hoja iliyoko mezani!
Yes, he is a saddist he does'nt care at all.Hata mm I think about others. Huyo jamaa ana PhD ya fully inner selfishnesh ajali kuhusu humanity furahaa yake ni kuona machozi na maumivu ya wengine
Tulifikiri Corona itatusaidia lakini kashtuka anasalimia watu kwa mateke
Ee Mungu tumekukosea nini sisi Watanzania
Hoja hapa ni bajeti za maji na afya kukatwa ili mambo ya ndani wajaziwe kwa asilimia 128 zaidi ya kilo bunge ilichopanga!Mbona hujibu swali?
Jibu.---
Hayo ya Mange kamuulize yeye!
Badala ya kujenga hoja, chadema wapo busy kupambana na polisi.Hiyo bajeti ya mambo ya ndani lazima iwe kubwa, ina kazi nyingi zikiwemo; kuwapeleka wale walevi kwenye mkutano wa Mbowe na kuwahakikishia ulinzi, kuwanywesha gongo, kuwasafirisha kwa lorry kama wakimbizi wa somalia, na kuwapa kifuta jasho baada ya kumaliza ile kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nijibu kwani mimi secretary wa Mange?Jikite kwenye hoja ambayo ni kuondoa fedha kwenye afya na maji kwenda kujaza kwenye mambo ya ndani zaidi ya mara mbili ya kilichopangwa na bunge!Jibu.
The same as all African leaders who makes people poorest to be colonized easilyYes, he is a saddist he does'nt care at all.