Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,430
P
Police sio chamaBadala ya kujenga hoja, chadema wapo busy kupambana na polisi.
Police sio chamaBadala ya kujenga hoja, chadema wapo busy kupambana na polisi.
CCM=Chama cha Mapolisi kwa hiyo tuko on targetBadala ya kujenga hoja, chadema wapo busy kupambana na polisi.
Anaye pambana na maji ni wizara ya maji au wizara ya mambo ya ndani?Mvua ni nyingi sana kipindi hiki (hakuna shida ya maji -punguzo kwenye bajeti ya wizara ya maji) , wingi huu wa mvua umesababisha maafa na uharibifu ili kukabiliana na hili wizara ya mambo ya ndani inahitaji rasilimali fedha (nyongeza kwenye bajetI ya wizara ya mambo ya ndani).
===
Kupanga ni kuchagua (nawaza tu..)
Wewe kwa mawazo yako ni sawa kuondoa fedha kwenye Afya,maji na kilimo kwenda kuweka kwenye mambo ya ndani zaidi ya mara mbili ya kilichoidhinishwa na Bunge???Badala ya kujenga hoja, chadema wapo busy kupambana na polisi.
Wale jamaa wote ukiwaangalia vizuri wanafanana na Chid Benz hahahhaaaa
Tunaelekea Uchaguzi mkuu, ulinzi na usalama ni jukumu la kwanza. Bila amani hayo mengine yote yatakuwa hayana umuhimu sana. Kulinda amani ya taifa hili inahitajika gharama na gharama zenyewe ndio kama hizo.Wewe kwa mawazo yako ni sawa kuondoa fedha kwenye Afya,maji na kilimo kwenda kuweka kwenye mambo ya ndani zaidi ya mara mbili ya kilichoidhinishwa na Bunge???
Kama huwezi kujibu kaa kimya sasa.Nijibu kwani mimi secretary wa Mange?...
Sema kulinda udikteta kunatakiwa gharama kubwa kuliko kulinda demokrasia. Amani halindwi Kwa wingi wa vifaa bali busara ingekuwa inalindwa Kwa wingi wa vifaa Saddam na Ghadafi wangekuwepo hadi leo walimiliki vifaa wakasahau kumiliki watu.Tunaelekea Uchaguzi mkuu, ulinzi na usalama ni jukumu la kwanza. Bila amani hayo mengine yote yatakuwa hayana umuhimu sana. Kulinda amani ya taifa hili inahitajika gharama na gharama zenyewe ndio kama hizo.
Ile ilikupa sana msongo wa mawazo.Kama ule upepo wa Ruangwa ulimuacha salama, usitegemee lingine.
Hiyo corona itakupata wewe na kizazi chako lakini rais atakuwa salama kabisaTulifikiri Corona itatusaidia lakini kashtuka anasalimia watu kwa mateke
Ee Mungu tumekukosea nini sisi Watanzania
Naona kazi yako ni kuedit hoja zangu ili usionekane mpuuzi!Jikite kwenye mada,hapa hatumjadili Mange,tunajadili bajeti kuhamishiwa mambo ya ndani kwa zaidi ya mara 2 ilichopangiwa na bunge!Kama huwezi kujibu kaa kimya sasa.
Bunge halijaona hilo?Hii nchi yetu si tunaambiwa ni kisiwa cha amani?Hatujawahi kuyahitaji mabomu na risasi kama tunavyohitaji maji,afya na kilimo!Sikubaliani kabisa na hili!Tunaelekea Uchaguzi mkuu, ulinzi na usalama ni jukumu la kwanza. Bila amani hayo mengine yote yatakuwa hayana umuhimu sana. Kulinda amani ya taifa hili inahitajika gharama na gharama zenyewe ndio kama hizo.
Wewe si ndio ulikuwa ukishangilia "kifo" cha LissuHiyo corona itakupata wewe na kizazi chako lakini rais atakuwa salama kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli huwa siwaelewi hawa watu!Hapo JPM akibadili gia na kusema hapana,fedha zirudishwe kwenye hizo wizara haya haya mahayawani yatakuja kupongeza hapa!Ngoja uone mapumba kama sio mashudu ya wana CCM kwenye huu uzi...hivi hamuonagi aibu kutetea upumbavu?
Itakuwa imebuniwaHiyo ni document ipi..tunaomba full documents vinginevyo hii ni kazi ya upotoshaji ya bavicha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana kangi aliamua kujipigia pande kubwaWizara ya wizi wa kura na utekaji imejipendelea sana.