Duniahadaa
JF-Expert Member
- Oct 16, 2017
- 336
- 677
Kama ule upepo wa Ruangwa ulimuacha salama, usitegemee lingine.Tulifikiri Corona itatusaidia lakini kashtuka anasalimia watu kwa mateke
Ee Mungu tumekukosea nini sisi Watanzania
Lakn utambue ya kwamba kila amuombeaye mwenzie baya kamwe haliwezi kutimia Bali hilo baya unalomuombea mwenzio huwa linaanzia kwako. Kwahyo tafakariTulifikiri Corona itatusaidia lakini kashtuka anasalimia watu kwa mateke
Ee Mungu tumekukosea nini sisi Watanzania
Kwa niaba ya Tundu Mughwai Lissu ninakesha nikiombaLakn utambue ya kwamba kila amuombeaye mwenzie baya kamwe haliwezi kutimia Bali hilo baya unalomuombea mwenzio huwa linaanzia kwako. Kwahyo tafakari
Sent using Jamii Forums mobile app
Wizara ya wizi wa kura na utekaji imejipendelea sana.
Wizara ambamo wezi wote wanajificha ndio nyeti....hahhaaaa. Magufuli mwoga sana. Amewahonga wazee wote wa vitengo wamuunge mkono. Si anafanya maendeleo na anapendwa na wanamchi??Kwani da'Mange anasemaje?
Wamewekeza kwenye mabomu zaidi utadhani tuko TalibaniWanathamini vitu kuliko watu!!!