Bajeti: Wizara ya Maji yapewa 11%, mambo ya ndani yapelekewa 228%

Kupanga ni kuchagua kachagua korona badala ya nazi.
 
Udikiteta ni gharama lazima uwekeze kwenye vyembo vya kukulinda. Full kuhangaika. Amani huna unaishi kwa nguvu ya vyombo.
 
11% hii ni mishahara ya watumishi kwemye wizara hiyo. Na posho mbali mbali hapo kinachoenda ni 1-2% only.
 
If succeede next term will be worther than,
We are in trouble. Uzuri ni kwamba mimi binafsi hata ndoo ya maji ikiuzwa 10,000/= unga kilo 5000/= na umeme unit 1000/= bado mimi nitasurvive tu hapa povu linanitoka kwa sababu sio mbinafi napiga kelele kwa ajili ya watanzania wengine. Mimi ni mzalendo kuliko huyo Magufuli.
 
Enzi za chama kimoja bunge lilikuwa na nguvu kuliko hata sasa. Wabunge walikuwa wanashikilia shilingi bajeti zisipite. Leo imejazana mipinzani hovyo humo.kazi yao kupinga tu.
Thus uchumi ukafa sababu wabunge wa chama kimoja angalau hawa wapinzani wanawaamsha
 
Hata mm I think about others. Huyo jamaa ana PhD ya fully inner selfishnesh ajali kuhusu humanity furahaa yake ni kuona machozi na maumivu ya wengine
 
Enzi za chama kimoja bunge lilikuwa na nguvu kuliko hata sasa. Wabunge walikuwa wanashikilia shilingi bajeti zisipite. Leo imejazana mipinzani hovyo humo.kazi yao kupinga tu.
Hao majority ambao ni CCM wanashindwaje kuisimamia serikali?Ni lini wabunge wa CCM wameshindwa kupitisha jambo bungeni kisa wapinzani?Siku mkeo akipewa mimba nje ya ndoa utasema wapinzani ndio sababu!
 
Hata mm I think about others. Huyo jamaa ana PhD ya fully inner selfishnesh ajali kuhusu humanity furahaa yake ni kuona machozi na maumivu ya wengine
Yes, he is a saddist he does'nt care at all.
 
Badala ya kujenga hoja, chadema wapo busy kupambana na polisi.
 
Nijibu kwani mimi secretary wa Mange?Jikite kwenye hoja ambayo ni kuondoa fedha kwenye afya na maji kwenda kujaza kwenye mambo ya ndani zaidi ya mara mbili ya kilichopangwa na bunge!
Kuna watu ni wa ajabu sana,hapa kweli unaona ni sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…