Bajeti ya maji ya Rais Samia ni karibu mara tatu zaidi ya ile ya FY2020|21

Ifikapo mwaka 2030 Shida ya maji safi na salama Tanzania huenda ikasalia kuwa historia | Bajeti mpya ya maji ya Rais Samia ni karibu mara tatu zaidi ya ile ya FY2020|21.​

Rais Samia Suluhu Hassan kwenye bajeti yake ya maji ya kwanza ametenga jumla ya Tshs 589.4BL kwaajili ya Uchimbaji na Usambazaji wa maji safi na salama mjini na vijijini nchi nzima, bajeti hii ni sawa na ongezeko la 284% kutoka Tshs 207.5BL zilizotolewa kwaajili ya Uchimbaji na Usambazaji huo wa maji safi na salama FY2020|21,Bajeti hii ya Rais Samia ni karibu maratatu zaidi ya ile ya mtangulizi wake,

Kwakuwa Rais Samia Suluhu Hassan ni mwanamke na kwakuwa zaidi 80% ya wanaopata adha ya maji mjini na vijijini ni wanawake hatimaye rais huyu mnyenyekevu ameamua kwa vitendo " Kuwatua Ndoo Vichwani " wanawake wenzake kwa kutenga kiasi hiki kikubwa cha fedha kwaajili ya Uchimbaji na Usambazaji wa maji mjini na vijiji,kiasi hiki cha fedha ya maendeleo hakijawahi kutengwa na serikali yeyote tangu uhuru,Heko Rais Samia,

Wastani wa upatikanaji wa maji safi na salama mjini na vijini ni 79.15% huku mjini ikiwa ni 86% na vijijini ni 72.3% huku lengo la Serikali lilikuwa ni kufikia 85% mwaka 2025 na 90% ifikapo mwaka 2035 but kwa kasi hii ya Rais Samia ambapo thamani ya bajeti ya maji ya mwaka mmoja ya Rais Samia ni sawa na thamani ya miaka mitatu ya bajeti ya maji ya Serikali iliyofanya makisio hayo,kwa lugha rahisi kabisa " Mwaka mmoja wa maji wa Rais Samia ni sawa na miaka mitatu ya maji ya mtangulize wake " au 1:3 yaani malengo ya maji ya Miaka 10 kwenye Serikali iliyopita yatatekelezwa kwa miaka 3.3 tu na Rais Samia, Kama kuna mtu wa kuombewa zaidi kwa sasa Tanzania basi ni Rais Samia,

#Nchi yenu iko katika Uelekeo Sahihi zaidi pengine tangu kuasisiwa kwake,

VIVA SAMIA VIVA ||VIVA TANZANIA VIVA

View attachment 1965592
Awamu ya 6 inakwenda kulizika tatizo kongwe la shida ya maji Safi na salama💪👍😍

Siempre JMT
 
Am speechless,

Hivi kumbe huyu mama anafanya kazi kubwa kiasi hiki?
Aise Mungu huyu, kumbe Samia ni mtambo mpya mwingine banda ya Mafuli aise,

Naandika nafuta,naandika nafuta, Mungu jalia mipango ya huyu Mama,
Aaaamin aaaamin aaaamin🙏🤲
 
Taarifa zako zinaleta mgawanyiko kwa faida ya upinzani
Mkuu kolola,

Salaam,

Taarifa hizi zinaleta mgawanyiko kwa Nani?

Mlisema nchi imemshinda Mama leo tena taarifa za uchapakazi wake zinaleta mgawanyiko? 🤣🤣🤣🤣

MTAPATA TABU SANA MSIPOKUBALI HAKUNA KAMA SAMIA,

#KAZI IENDELEE KWA KASI NA WELEDI ZAIDI
 
Waache waendelee kuufukuza UPEPO.....

WATAPATA TABU SANAAAA...

#NchiKwanza
#SiempreSSH💪
 
Mkuu kolola,

Salaam,

Taarifa hizi zinaleta mgawanyiko kwa Nani?

Mlisema nchi imemshinda Mama leo tena taarifa za uchapakazi wake zinaleta mgawanyiko? 🤣🤣🤣🤣

MTAPATA TABU SANA MSIPOKUBALI HAKUNA KAMA SAMIA,

#KAZI IENDELEE KWA KASI NA WELEDI ZAIDI
Ushauri unaweza kuuchukua au kuuacha. Acha kulinganisha enzi na enzi. Jenga hoja bila kulinganisha enzi na enzi, matokeo yake si mazuri vile
 
Itakuwa bado unaishi kwa wazazi wako/kula kulala, Shule hazina madarasa na vyoo,Vitui vya Afya na zahanati hakuma vitanfa Wala dawa,tunamiaka 60 toka tumepata uhuru,hii miaka 7 ndiyo tumalize matatizo yote?

View attachment 1965647

View attachment 1965648
Unataka Serikali imnunulie gari kila familia ?Mbona barabara iko njema kabisa, Machadema bwana

🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ushauri unaweza kuuchukua au kuuacha. Acha kulinganisha enzi na enzi. Jenga hoja bila kulinganisha enzi na enzi, matokeo yake si mazuri vile
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mbona wewe ulikuwa unamlinganisha JK na JPM hapa?

mara ameongeza dawa toka 31b mpaka 270b hapa ulikuwa unalinganisha enzi na nini hapa,
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Am speechless,

Hivi kumbe huyu mama anafanya kazi kubwa kiasi hiki?
Aise Mungu huyu, kumbe Samia ni mtambo mpya mwingine banda ya Mafuli aise,

Naandika nafuta,naandika nafuta, Mungu jalia mipango ya huyu Mama,
😍😍😍

Kama mwaka mmoja ni hivi, Fikiri itakuwaje ifikapo 2030?

Tuendelee kumwombea Rais wetu,
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mbona wewe ulikuwa unamlinganisha JK na JPM hapa?

mara ameongeza dawa toka 31b mpaka 270b hapa ulikuwa unalinganisha enzi na nini hapa,
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
una matatizo. Nioneshe nilipolinganisha utawala wa JK na JPM! Acha kukurupuka wewe
 
Umewahi kusikia lakini hizo kauli?
Kwamba Magufuli ameongeza bajeti ya dawa toka shilingi 31b hadi 270b ?
Uliwazuia hawa kulunganisha?
Je upinzani ulipata faida gani?

Najua wewe ni chadema unataka kuzuia sifa njema za Samia ili mje mumsumbue 2025
 
Ifikapo mwaka 2030 Shida ya maji safi na salama Tanzania huenda ikasalia kuwa historia | Bajeti mpya ya maji ya Rais Samia ni karibu mara tatu zaidi ya ile ya FY2020|21.​

Rais Samia Suluhu Hassan kwenye bajeti yake ya maji ya kwanza ametenga jumla ya Tshs 589.4BL kwaajili ya Uchimbaji na Usambazaji wa maji safi na salama mjini na vijijini nchi nzima, bajeti hii ni sawa na ongezeko la 284% kutoka Tshs 207.5BL zilizotolewa kwaajili ya Uchimbaji na Usambazaji huo wa maji safi na salama FY2020|21,Bajeti hii ya Rais Samia ni karibu maratatu zaidi ya ile ya mtangulizi wake,

Kwakuwa Rais Samia Suluhu Hassan ni mwanamke na kwakuwa zaidi 80% ya wanaopata adha ya maji mjini na vijijini ni wanawake hatimaye rais huyu mnyenyekevu ameamua kwa vitendo " Kuwatua Ndoo Vichwani " wanawake wenzake kwa kutenga kiasi hiki kikubwa cha fedha kwaajili ya Uchimbaji na Usambazaji wa maji mjini na vijiji,kiasi hiki cha fedha ya maendeleo hakijawahi kutengwa na serikali yeyote tangu uhuru,Heko Rais Samia,

Wastani wa upatikanaji wa maji safi na salama mjini na vijini ni 79.15% huku mjini ikiwa ni 86% na vijijini ni 72.3% huku lengo la Serikali lilikuwa ni kufikia 85% mwaka 2025 na 90% ifikapo mwaka 2035 but kwa kasi hii ya Rais Samia ambapo thamani ya bajeti ya maji ya mwaka mmoja ya Rais Samia ni sawa na thamani ya miaka mitatu ya bajeti ya maji ya Serikali iliyofanya makisio hayo,kwa lugha rahisi kabisa " Mwaka mmoja wa maji wa Rais Samia ni sawa na miaka mitatu ya maji ya mtangulize wake " au 1:3 yaani malengo ya maji ya Miaka 10 kwenye Serikali iliyopita yatatekelezwa kwa miaka 3.3 tu na Rais Samia, Kama kuna mtu wa kuombewa zaidi kwa sasa Tanzania basi ni Rais Samia,

#Nchi yenu iko katika Uelekeo Sahihi zaidi pengine tangu kuasisiwa kwake,

VIVA SAMIA VIVA ||VIVA TANZANIA VIVA

View attachment 1965592

Mkuu CM 1774858 ,

Naona unamaliza mgogoro wa nani zaidi,

Nilisema mapema msicheze na Samia haibi hata mia pesa yote kwenye miradi,

Nawashauri Wale wanaondelea na darasa la uongozi wafundishe haya,

Maji bado ni tatizo kubwa maeneo mengi asante mama samia,

CCM CHAMA,
 
Back
Top Bottom