Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
👍Iliniumiza sana,
Ila mungu ametujibu🙏🏿🦻🏿
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
👍Iliniumiza sana,
Ila mungu ametujibu🙏🏿🦻🏿
Ifikapo mwaka 2030 Shida ya maji safi na salama Tanzania huenda ikasalia kuwa historia | Bajeti mpya ya maji ya Rais Samia ni karibu mara tatu zaidi ya ile ya FY2020|21.
Rais Samia Suluhu Hassan kwenye bajeti yake ya maji ya kwanza ametenga jumla ya Tshs 589.4BL kwaajili ya Uchimbaji na Usambazaji wa maji safi na salama mjini na vijijini nchi nzima, bajeti hii ni sawa na ongezeko la 284% kutoka Tshs 207.5BL zilizotolewa kwaajili ya Uchimbaji na Usambazaji huo wa maji safi na salama FY2020|21,Bajeti hii ya Rais Samia ni karibu maratatu zaidi ya ile ya mtangulizi wake,
Kwakuwa Rais Samia Suluhu Hassan ni mwanamke na kwakuwa zaidi 80% ya wanaopata adha ya maji mjini na vijijini ni wanawake hatimaye rais huyu mnyenyekevu ameamua kwa vitendo " Kuwatua Ndoo Vichwani " wanawake wenzake kwa kutenga kiasi hiki kikubwa cha fedha kwaajili ya Uchimbaji na Usambazaji wa maji mjini na vijiji,kiasi hiki cha fedha ya maendeleo hakijawahi kutengwa na serikali yeyote tangu uhuru,Heko Rais Samia,
Wastani wa upatikanaji wa maji safi na salama mjini na vijini ni 79.15% huku mjini ikiwa ni 86% na vijijini ni 72.3% huku lengo la Serikali lilikuwa ni kufikia 85% mwaka 2025 na 90% ifikapo mwaka 2035 but kwa kasi hii ya Rais Samia ambapo thamani ya bajeti ya maji ya mwaka mmoja ya Rais Samia ni sawa na thamani ya miaka mitatu ya bajeti ya maji ya Serikali iliyofanya makisio hayo,kwa lugha rahisi kabisa " Mwaka mmoja wa maji wa Rais Samia ni sawa na miaka mitatu ya maji ya mtangulize wake " au 1:3 yaani malengo ya maji ya Miaka 10 kwenye Serikali iliyopita yatatekelezwa kwa miaka 3.3 tu na Rais Samia, Kama kuna mtu wa kuombewa zaidi kwa sasa Tanzania basi ni Rais Samia,
#Nchi yenu iko katika Uelekeo Sahihi zaidi pengine tangu kuasisiwa kwake,
VIVA SAMIA VIVA ||VIVA TANZANIA VIVA
View attachment 1965592
Ila yapo?
Naunga mkono hoja 100%tuendelee kupambana na kumpigania Rais wetu,
TUCHAPE KAZI KWA BIDII
#KAZI IENDELEE KWA KASI NA WELEDI ZAIDI
Kundi la mwendazake walikuwa wanapiga hela , unadhani Msigwa aliongea kitu ambacho hakijui?Am speechless,
Hivi kumbe huyu mama anafanya kazi kubwa kiasi hiki?
Aise Mungu huyu, kumbe Samia ni mtambo mpya mwingine banda ya Mafuli aise,
Naandika nafuta,naandika nafuta, Mungu jalia mipango ya huyu Mama,
Swalama mkuu,Kazi zinaendelea kwa Kasi Sana chini ya Chief Hangaya,Samia ni nouma Sana yaani fire 🔥🔥MKUU wangu salama?
Tuendelee kuchapa kazi
HAKUNA KAMA SAMIA
😍😍😍 Wanaunia sanaHakika mkuu....
Ukweli una kawaida ya KUPANDA NGAZI....mdogomdogo tu.....🤣
😍😍😍Swalama mkuu,Kazi zinaendelea kwa Kasi Sana chini ya Chief Hangaya,Samia ni nouma Sana yaani fire 🔥🔥
Mnoooo....😍😍😍 Wanaunia sana
Kundi la mwendazake walikuwa wanapiga hela , unadhani Msigwa aliongea kitu ambacho hakijui?
Safi Sana Chadema 😍😍😍Mimi ni Chadema ila mama damu sana,
Tanzania tunataka mtu wa namna hii,
Samia ongoza mpaka uchoke,
Leo nimeona unasisitiza haki najua utamwachia Mbowe
Hakuna kama wwe kuwa na amani watanzania tunakupenda sana,
Mnoooo....
Hawataki kujikumbusha uzalendo wa nchi....
Wamejisahaulisha UTII ulio lazima kwa mwenyekiti wetu na Rais wa nchi......
Wanachagua wa KUWATII.....hii si afya kwa sisi raia ,chama na nchi....
SIEMPRE MH.SSH amen🙏
🎵🎵📢🔊📯📢🎤🔔Swalama mkuu,Kazi zinaendelea kwa Kasi Sana chini ya Chief Hangaya,Samia ni nouma Sana yaani fire 🔥🔥
Tatizo nini mkuu?Niko hapa Buyuni Vigwaza, just 5km toka Ruvu mtoni, lakini maji hakuna.
Kila nikiangalia tv Huwa nakutana na wamama wanafurahia miradi ya maji,Jana tuu mwenge umezindua mradi wa Maji Karagwe huko pesa ya mama.
Jana hiyo hiyo Waziri wa Maji alikuwa Dar ,wananchi mtaa fulani walikuwa wanalima lia maji kawaambia pesa iko wizarani ndani ya wiki hii wataona mafundi site yaani ni maneno na vitendo.
Moto wa Samia sio wa Nchi hii.
Ni mda tuu mtafikiwa ,hatua ndio hizo mama anachukua, haiwezekani over night matatizo yote yakamalizwa na bajeti moja ndio maana Mama anasema by 2030 shida ya Maji itakuwa imefutwa.
Ni suala la mda tuu mtafikiwa na upendo wa mama 😍😍Niko hapa Buyuni Vigwaza, just 5km toka Ruvu mtoni, lakini maji hakuna.