Bajeti ya maji ya Rais Samia ni karibu mara tatu zaidi ya ile ya FY2020|21

Awamu ya 6 inakwenda kulizika tatizo kongwe la shida ya maji Safi na salamaπŸ’ͺπŸ‘πŸ˜

Siempre JMT
 
Am speechless,

Hivi kumbe huyu mama anafanya kazi kubwa kiasi hiki?
Aise Mungu huyu, kumbe Samia ni mtambo mpya mwingine banda ya Mafuli aise,

Naandika nafuta,naandika nafuta, Mungu jalia mipango ya huyu Mama,
Aaaamin aaaamin aaaaminπŸ™πŸ€²
 
Taarifa zako zinaleta mgawanyiko kwa faida ya upinzani
Mkuu kolola,

Salaam,

Taarifa hizi zinaleta mgawanyiko kwa Nani?

Mlisema nchi imemshinda Mama leo tena taarifa za uchapakazi wake zinaleta mgawanyiko? 🀣🀣🀣🀣

MTAPATA TABU SANA MSIPOKUBALI HAKUNA KAMA SAMIA,

#KAZI IENDELEE KWA KASI NA WELEDI ZAIDI
 
Waache waendelee kuufukuza UPEPO.....

WATAPATA TABU SANAAAA...

#NchiKwanza
#SiempreSSHπŸ’ͺ
 
Ushauri unaweza kuuchukua au kuuacha. Acha kulinganisha enzi na enzi. Jenga hoja bila kulinganisha enzi na enzi, matokeo yake si mazuri vile
 
Unataka Serikali imnunulie gari kila familia ?Mbona barabara iko njema kabisa, Machadema bwana

🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Ushauri unaweza kuuchukua au kuuacha. Acha kulinganisha enzi na enzi. Jenga hoja bila kulinganisha enzi na enzi, matokeo yake si mazuri vile
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Mbona wewe ulikuwa unamlinganisha JK na JPM hapa?

mara ameongeza dawa toka 31b mpaka 270b hapa ulikuwa unalinganisha enzi na nini hapa,
🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Duh-huh,

Samia akifanya vizuri upinzani unapata faida hii ndio nasikia leo,
Nenda kaendelee na darasa la Uongozi,Samia sio levels zenu
Nikiwewe tu hawa

😍😍😍
 
Am speechless,

Hivi kumbe huyu mama anafanya kazi kubwa kiasi hiki?
Aise Mungu huyu, kumbe Samia ni mtambo mpya mwingine banda ya Mafuli aise,

Naandika nafuta,naandika nafuta, Mungu jalia mipango ya huyu Mama,
😍😍😍

Kama mwaka mmoja ni hivi, Fikiri itakuwaje ifikapo 2030?

Tuendelee kumwombea Rais wetu,
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Mbona wewe ulikuwa unamlinganisha JK na JPM hapa?

mara ameongeza dawa toka 31b mpaka 270b hapa ulikuwa unalinganisha enzi na nini hapa,
🀣🀣🀣🀣🀣🀣
una matatizo. Nioneshe nilipolinganisha utawala wa JK na JPM! Acha kukurupuka wewe
 
una matatizo. Nioneshe nilipolinganisha utawala wa JK na JPM! Acha kukurupuka wewe
Umewahi kusikia lakini hizo kauli?
Kwamba Magufuli ameongeza bajeti ya dawa toka shilingi 31b hadi 270b ?
Uliwazuia hawa kulunganisha?
Je upinzani ulipata faida gani?

Najua wewe ni chadema unataka kuzuia sifa njema za Samia ili mje mumsumbue 2025
 
Mkuu CM 1774858 ,

Naona unamaliza mgogoro wa nani zaidi,

Nilisema mapema msicheze na Samia haibi hata mia pesa yote kwenye miradi,

Nawashauri Wale wanaondelea na darasa la uongozi wafundishe haya,

Maji bado ni tatizo kubwa maeneo mengi asante mama samia,

CCM CHAMA,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…