Mshiko mnao, si muweke ruzuku ili tupate unafuu tulime tena, maana mwakani wote tunakuja mjini tupangwe vizuri tufanye umachinga.Sababu za mbolea kupanda bei mbona zinajulikana.....
UVIKO 19 umeathiri viwanda vya nje kutoizalisha kwa WINGI....hujalisikia hilo ?!!!
π€£ππ ID nyingi kwani zinaruhusiwa hapa?
Nawewe ni ID yangu?
Chadema hamuishiwi hoja,
Jamaa anasema hii Team ni ID moja ππSababu za mbolea kupanda bei mbona zinajulikana.....
UVIKO 19 umeathiri viwanda vya nje kutoizalisha kwa WINGI....hujalisikia hilo ?!!!
Wewe jamaa mara uko Ruvu,Mshiko mnao, si muweke ruzuku ili tupate unafuu tulime tena, maana mwakani wote tunakuja mjini tupangwe vizuri tufanye umachinga.
Unadhani lengo la serikali hivi karibuni kuzitoa bilioni 50 kununuliwe mahindi kutoka kwa wakulima wadogo katika mikoa 7 hawakulenga UNAFUU wa kilimo?!!!Mshiko mnao, si muweke ruzuku ili tupate unafuu tulime tena, maana mwakani wote tunakuja mjini tupangwe vizuri tufanye umachinga.
Ndio maana nikamshangaa kwa kumpa swali....wengine tunatumia ID zenye majina yetu....Jamaa anasema hii Team ni ID moja ππ
Huu mwaka mtajua hamjui
Wanaweweseka chadema,Jamaa anasema hii Team ni ID moja ππ
Huu mwaka mtajua hamjui
πππ Jamaa katisha
π€£π€£π€£π€£ Hawakutegemea na unaweza kuta huyo ni CCM mwenzetu kabisaNdio maana nikamshangaa kwa kumpa swali....wengine tunatumia ID zenye majina yetu....
Anatapatapa kwa mziki mnene wa mh.SSH π€£
π€£π€£Ujumbe umfikie BAK na ERYTHROCYTEWanaweweseka chadema,
Nawao siwaje na I'd nyingi
π€£π€£π€£π€£
Nimekwambia Mabwe pande maji hayapo, hata wanaccm wenzako hawana maji. Hapo ni Ubungo.ππ ID nyingi kwani zinaruhusiwa hapa?
Nawewe ni ID yangu?
Chadema hamuishiwi hoja,
Ha ha ha kama ndivyo basi hatutoacha kumkumbusha NIDHAMU YA CHAMA NDANI YA MADARASA YA ITIKADI ya kwamba UTII NI LAZIMA KWA MWENYEKITI WETU WA CCM πͺπ€£π€£π€£π€£ Hawakutegemea na unaweza kuta huyo ni CCM mwenzetu kabisa
Unaenda NFRA na gunia 500, unaambiwa tunanunua 10 tu, wakati umesafirisha mzigo kwa zaidi ya 300km. Hivi unajua hasara ya hawa wakulima au unapiga ubuyu tuu.Unadhani lengo la serikali hivi karibuni kuzitoa bilioni 50 kununuliwe mahindi kutoka kwa wakulima wadogo katika mikoa 7 hawakulenga UNAFUU wa kilimo?!!!
πNdio ni sass na Samia
Maji hayapo, si uje hapa Kidogozero Ruvu uone kama kuna maji, njoo hapa Maguru matali uyaone hayo maji, na tupo 5km toka mto Ruvu.Wewe jamaa mara uko Ruvu,
Sasa Ruvu sio mjini hapo ππ
Mkoa gani au ndio kuzusha tu,Unaenda NFRA na gunia 500, unaambiwa tunanunua 10 tu, wakati umesafirisha mzigo kwa zaidi ya 300km. Hivi unajua hasara ya hawa wakulima au unapiga ubuyu tuu.
Unaenda NFRA na gunia 500, unaambiwa tunanunua 10 tu, wakati umesafirisha mzigo kwa zaidi ya 300km. Hivi unajua hasara ya hawa wakulima au unapiga ubuyu tuu.
Gunia 500 ni tani 50....ni tofauti na maelezo waliotoa NFRA...nimemkumbusha afuatilie vyema......Mkoa gani au ndio kuzusha tu,
KrupUnadhani lengo la serikali hivi karibuni kuzitoa bilioni 50 kununuliwe mahindi kutoka kwa wakulima wadogo katika mikoa 7 hawakulenga UNAFUU wa kilimo?!!!