Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Haha hahaha alidhani watu hawamjui.Ila alitubu kimyakimya tulipoanza kumsimanga kuhusu majina yake πππ
Usicheze na mitandao.Unaweza kuambiwa saa hizi unakula "parachichi" ukiwa wapi!ππHaha hahaha alidhani watu hawamjui.
Akaanza kujidai mtakatifu kwa kujibebesha watoto wake kwenye mbeleko
Ruhuji Ipo Lindi!!!?β Lindi; Mradi wa Kufua Umeme wa Maji - Ruhudji MW 358; Mradi wa Kufua Umeme wa Maji - Rumakali MW 222; Uchimbaji wa madini ya Nickel; Ujenzi wa Madaraja Makubwa na Barabara za Juu za Daraja la Kigongo - Busisi (Mwanza), Tanzanite (Dar es Salaam) na Interchange ya Kamata (Dar es Salaam); Bandari ya Uvuvi (Mbegani) na Ununuzi wa Meli za Uvuvi; Kiwanda cha Sukari Mkulazi; Utafutaji wa mafuta katika vitalu vya Eyasi Wembere na
Wafunge mikanda huku genge la wahuni linalipwa 11M kwa kugonga meza tuHiyo aliyosoma Mwigulu ambayo inawataka wananchi wafunge mikanda kama wakati wa kupigana na Nduli Idd Amin ni bajeti ya Tanaganyika!!!
Nilikuwa nasikiliza bajeti ya nchi jirani yetu ya Zanzibar wao bajeti yao imetoa afueni kubwa kwa wananchi kwa kupunguza kodi!!!!
You know nothingWewe mnafiki sana ka himbe umfuate.....
Biashara za watu weweHivi kuongeza matumizi ya internet, unapunguza bei ya vifurushi au unapunguza kodi kwenye smartphone kama Waziri alivopendekeza?..
Mmhh,
Yaani mafuta yanazidi kupaa, yatafika Hadi 3,000 kwa Mwaka 2021/2022 kwa kuongeza ushu
Ni dharau ya kiwango cha juu sana kwa mamlaka.Hii tengua tengua ni moja ya jambo ulilosema jana kuwa lilifanywa na late Magufuli kwa pupa kwa maana alitoa kadi hata bila kuona kosa bali kwa kuambiwa. Hukuishia hapo ukamunanga Mh Rais SAMIA kuwa amefundishwa siasa na JK huku ukisahau kuwa AWAMU YA 5 ndiyo iliyomtambulisha mama Kwenye OPEN EYE politics na kumheshimisha zaidi. Kwa ufupi ulichokifanya jana ni uchonganishi na dharau kubwa kwa viongozi wakuu wa nchi. Namalizia kwa kusema JIANDAE your political carrier will be fated to end badly. Mwigulu Nchemba.
Hii tengua tengua ni moja ya jambo ulilosema jana kuwa lilifanywa na late Magufuli kwa pupa kwa maana alitoa kadi hata bila kuona kosa bali kwa kuambiwa. Hukuishia hapo ukamunanga Mh Rais SAMIA kuwa amefundishwa siasa na JK huku ukisahau kuwa AWAMU YA 5 ndiyo iliyomtambulisha mama Kwenye OPEN EYE politics na kumheshimisha zaidi. Kwa ufupi ulichokifanya jana ni uchonganishi na dharau kubwa kwa viongozi wakuu wa nchi. Namalizia kwa kusema JIANDAE your political carrier will be fated to end badly. Mwigulu Nchemba.
Hii tengua tengua ni moja ya jambo ulilosema jana kuwa lilifanywa na late Magufuli kwa pupa kwa maana alitoa kadi hata bila kuona kosa bali kwa kuambiwa. Hukuishia hapo ukamunanga Mh Rais SAMIA kuwa amefundishwa siasa na JK huku ukisahau kuwa AWAMU YA 5 ndiyo iliyomtambulisha mama Kwenye OPEN EYE politics na kumheshimisha zaidi. Kwa ufupi ulichokifanya jana ni uchonganishi na dharau kubwa kwa viongozi wakuu wa nchi. Namalizia kwa kusema JIANDAE your political carrier will be fated to end badly. Mwigulu Nchemba.
Madam amvumilie kidogo ila amuonyeHii tengua tengua ni moja ya jambo ulilosema jana kuwa lilifanywa na late Magufuli kwa pupa kwa maana alitoa kadi hata bila kuona kosa bali kwa kuambiwa. Hukuishia hapo ukamunanga Mh Rais SAMIA kuwa amefundishwa siasa na JK huku ukisahau kuwa AWAMU YA 5 ndiyo iliyomtambulisha mama Kwenye OPEN EYE politics na kumheshimisha zaidi. Kwa ufupi ulichokifanya jana ni uchonganishi na dharau kubwa kwa viongozi wakuu wa nchi. Namalizia kwa kusema JIANDAE your political carrier will be fated to end badly. Mwigulu Nchemba.