Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Haha hahaha alidhani watu hawamjui.Ila alitubu kimyakimya tulipoanza kumsimanga kuhusu majina yake 😂😂😂
Akaanza kujidai mtakatifu kwa kujibebesha watoto wake kwenye mbeleko