Mkuu sijaoa bado ila sasa huyo niliyekuwa nampa budget ya mwez nadhani alikuwa kwenye hiyo budget anatumia 25% nyingine sijui alikuwa anafanyia nini.Vipi wife alipeleka hela kwenye vicoba🤣🤣🤣🤣🤣
Kama inaenda hadi mwez poa ila sasa mm week tu hakuna kitu au anawalisha watu chakula kama mko boarding nikaona tabu ya nini. Nikaingia kazini mwenyeweNimeona nifanye hivo pia kwa sababu na yeye aweze kupata pesa zake za pembeni.. Ningeweza kumpa elfu kumi kila siku, ila nyumba isingekuwa na amani...
Hapo najua kila mwezi atakuwa ame save sio chini ya laki moja.. Nna maana kwanini nafanya hivo
Nipunguzie 3060000 mpaka laki inategemea nmeamkaje amkaje, nko bachela
Laki moja?? MkuuLaki 1 kwa siku. Mara moja moja nikiwa na nafasi nanunua mchele au samaki naweka kwenye friji wa kutosha wiki 2 au 3 ila sio lazima. Umeme na maji pembeni na DStv
Laki moja?? Mkuu
mim nashinda hasa vijiweni kwaiyo siku nzima uwa nakula kwa kudanda danda kijiwen, Asubuhi kabisa ya saamoja uji kombe la 500, ifikapo njaa mida ya saatatu ndizi jero, mshkaki jero na Coca-Cola bariid ya 600, apo inakatika 1600, mchana wali 1500 na Coca-Cola bariid 600 inakuwa 2100, next Azam energy bariid 600, jion ya saamoja kikombe kimoja cha Alkasusu 500 kwaiyo apo inakatika kama 5,800 lakin sometimes uwa nabadirisha inafika ad 10k
Hata ununue vitu vya mwezi si ndio umetumia pesa. Hivyo utakavyo tumia kila siku kama mchele, maharage, nyanya nk unaingiza ndani ya bajeti.Mzee usitegemee kupata ulichokuwa unakitafuta,bajeti kila mtu ana zake,cha msingi kama unafamilia nunua kila kitu ndani,vyote vya muhimu uwe unatoa ela ya week ya mboga tu,kwa mfano;weka bajeti ya vyakula
vipi imefanikiwa formula hiiMkuu sijaoa bado ila sasa huyo niliyekuwa nampa budget ya mwez nadhani alikuwa kwenye hiyo budget anatumia 25% nyingine sijui alikuwa anafanyia nini.
Na mimi formula ni kununua vitu vya msingi kwa jumla kama mchele, ngano, sembe, maharage then mboga ndo inaunuliwa kila week na sometimes vyakula vya kubadili kama ndizi, viazi.
Nilijaribu mwisho nikanyoosha mikono nikaone isiwe tabu ntakuwa mwanaume wa zenj vyakula nanunua mwenyewe utaambulia pesa ya kutumia kwa matumizi yako tu.
hiyo ni total kwa mweziYaani laki 3 na kwenda juu
Duh kumbe kuwa na familia gharama hivyo....aisee itabidi nifikirie mara mbili mbili huu mkakati wa kuwa na mtotondio
hiyo ni total kwa mwezi
wala si gharama sema gharama za maisha ndoziko juuDuh kumbe kuwa na familia gharama hivyo....aisee itabidi nifikirie mara mbili mbili huu mkakati wa kuwa na mtoto
Sasa hiyo kula, hapo hamjatoka outing, mara sijui mke kapoteza simu, wakwe hawaja leta shida zao..uwiiiiiiwala si gharama sema gharama za maisha ndoziko juu
Imefanikiwa kwa 99.99%vipi imefanikiwa formula hii
...Kwa hiyo Milioni Tatu Kwa Mwezi, Mkuu Kambaku?...Laki 1 kwa siku. Mara moja moja nikiwa na nafasi nanunua mchele au samaki naweka kwenye friji wa kutosha wiki 2 au 3 ila sio lazima. Umeme na maji pembeni na DStv