Bajeti yako kwa siku ni shilingi ngapi kwa wewe mwenye familia?

Bajeti yako kwa siku ni shilingi ngapi kwa wewe mwenye familia?

mhh kwenye huu uzi naona watu wanaalamika bei za vitu ila tatizo hamuongei na watu vizur kitu kama gas ni 51k dumu la mafuta 20lt ni 70k mchele safiiii umenyooka 1kg 2200 cjui nyie mnanunulia wapi bidhaa zenu ila nipende kuwaambia mjifunze kuongea na watu vizuri
 
Bajeti yangu kwa mwezi na 1.2 m. Hapo ni gharama ya chakula home na kazini (mara nyingi kazini nabeba msosi) , mafuta ya gari, umeme, maji, mahitaji mengine ya nyumbani kama sabuni etc. Saloon natumia buku 4 kwa mwezi maana nina nywele fupi. Kama kuna michango mingine ndio inaenda hadi 1.5 m. Hapo silipi kodi ya nyumba. Nina familia ya watu 4.
 
Inategema siku na siku.

Kuna siku nyingine hautumii hata 100 coz vitu umenunua vipo ndani.

But on average ni 5-30.
 
Bajeti yangu kwa mwezi na 1.2 m. Hapo ni gharama ya chakula home na kazini (mara nyingi kazini nabeba msosi) , mafuta ya gari, umeme, maji, mahitaji mengine ya nyumbani kama sabuni etc. Saloon natumia buku 4 kwa mwezi maana nina nywele fupi. Kama kuna michango mingine ndio inaenda hadi 1.5 m. Hapo silipi kodi ya nyumba. Nina familia ya watu 4.
Asee probably mshahara utakuwa zaidi ya 2M au kuna biashara nyingine wafanya!!
 
Asubuhi chapati mbili na maharage 800

Mchana ugali dagaa 1000 kwa mama nitilie

Jioni maziwa au juice na matunda tunda 1000 au siku nyingine nabadilisha uji wa ulezi au maziwa au supu ya pweza na finyango mbili 1000 hapo kijiweni


Usiku wali nyama au wali samaki 2000


Jumla 4800


Nisipo pita jion kijiweni bajeti inakuwa 3800 kwa siku


Nilipika nyumbani basi ni buku 1000
Alisikika MLEVi Mmoja
Mkuu sijaona bajeti ya ulevi hapo!
 
10,000 naona imekuwa bei elekezi( kodi ya meza)

[emoji23]
 
Ukitumia elfu kumi nakila kitukipo nyie uchumi wenu uko vizuri kwawale walio choka nyumba zakupanga. Njooni vigwaza
Mpate pakulala watoto
 
Tsh 10,000/= Ila vitu vya msingi vyote viwepo,mchele,unga,maharage makande nyanya vitunguu carrot nk .

Kama una uwezo unachukua nyama 2Kg na samaki wa 20K unaweka kwenye friji unaacha wanajipangia wenyewe kwa bajet, kama unaishi mjini kununua ndizi za kutosha familia ni anasa siku wakipika ndizi wamix na wali siku zisogee.
Hujaweka bejeti yako, bali ulitamani iwe.
weka unayoitumia, ili mwingine anaweza jifunza toka kwako.
 
Moja kati ya watu waongo waongo ni kundi la watu wanaotrade forex [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]njaaa Kama yote ila kutwa kushinda kwenye mahotel kupiga picha za kupost mitandaoni kuonesha wanakula bata kumbe maisha magumu jua linawawakia mpaka mfukoni ...!
Billionaire traders are the wealthiest traders in the world, earning more than 1.000.000.000 dollars from trade assets.
Top 5 Famous Billionaire Traders in the World
George Soros
Carl Icahn
Ray Dalio
Ray Dalio forex trading
David Tepper
James Simons


The Richest and most famous active traders in the World list in 2022 are:
George Soros (8.6 billion dollars)
Paul Tudor Jones II (7.3 billion dollars)
John Paulson (4.0 billion dollars)
Andreas Halvorsen (6.3 billion dollars)
Bill Ackman (3.3 billion dollars)
Before you see the wealthies
The top 15 most prosperous stock traders in the US in 2022. are:
Warren Buffett $107.2b
Jim Simons $24.4b
Ray Dalio $20b
Carl Icahn $15.6b
David Tepper $15.8b
Ken Griffin $20.8b
Steve Cohen 15.9b
George Soros 8.6b
Israel Englander 10.5b
David Shaw 7.5b
David Siegel 6.5b
Chase Coleman III 10.3b
Paul Tudor Jones II 7.3b
Bruce Kovner 6.2b
Stanley Druckenmiller 6.8b
 
Back
Top Bottom