BAKITA yaonya kuhusu maneno kama Famasiala na Fautani

Kiswahili kilijuzikia tu leo BAKITA wanajifanya wao ndio kiswahili.
Huku mtaani wala watu hawawajui bakita.
 
Baraza la Kiswahili nchini Tanzania (BAKITA) limepiga marufuku matumizi ya maneno mapya yaliyozuka hivi karibuni yanayotumiwa na Wasela wengi wa mjini na baadhi ya Watangazaji wa redio ya "FAMCHEZO na FAMASIHARA" badala FANYA MCHEZO na FANYA MASIHARA , Kutumika popote nchini Tanzania .

Marufuku hiyo inaanza mara moja , japo haijafahamika wale watakaokaidi watachukuliwa hatua zipi .
 
Habari za Maalim Abubakari Mbowe hujapata leo?
 
Shida ni kwani, si ni Sawa na kusema I'll. Badala ya I will
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…