BAKITA yaonya kuhusu maneno kama Famasiala na Fautani

Waache ujinga hayo n maneno ya mtaani tu mbona yapo mengi TU? Watayazuia yote? Na kwa Sheria ipi? Fanyeni kazi
 
Kiki tu hiyo..., unazuiaje mtu kuongea neno lisilo tusi wala dhihaka kwa yeyote?
 
Hii nchi kila mtu kawa kambale aisee matamko kila mahali.
 
BAKITA hawayajui majujumu yao ya kazi, nini maana ya REJESTA za kuzuka kwa msimu, itakuwa haina maana sasa ya rejesta
 
Swali kwa BAKITA
  1. Lile katazo la kutotumia neno Mwendazake pamoja na wasela wenzao wa madhabahuni walifanikiwa?
  2. Je wana jeshi la kuwakamata watakao kiuka takwa lao
  3. Ni maneno mangapi hadi sasa walishazuia yasitumike na kweli hayatumiki
  4. Je wwamefanya juhudi gani kuzuia uharibifu wa lugha kwenye maneno kama "abari, ela, araka, hamani, hangalau, akuna nk"
 
Haya ndio madhara ya watu kutokuwa na majukumu ya kueleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…