😄😄 "Jambo jengine..."Kuna mtu pia huwa anatumia maneno haya
"Kitu chengine ndugu zangu...."
YaaniWamekosa kazi
Fautani niniDadadeki
Bakita fakusudiFautani nini
Wapo kazini hapo kuhakikisha lugha adhimu ya Kiswahili haiharibiwi na inazungumzwa kwa ufasaha.Wamekosa kazi
Ujambo = unalo jamboSijambo = Sina jambo.
Waache watu wayatumie maneno hayo. Yakidumu kwa muda mrefu hufanywa sehem ya lugha sanifu.
Lugha inakuwa kwa namna hiyo.
Ni wapuuzi wameokotana wapumbavu wasio na akili wameketi kwenye baraza wanataka kile wanacho penda wao ndiyo kiwe na udini umejaa sana kwenye kukuza lughaHawana kazi hao Bakita.
Kuna mtu pia huwa anatumia maneno haya
"Kitu chengine ndugu zangu...."
Mkuu rudi shule ukosome tena lugha ya kiswahiliNWAPONGEZA BAKITA KWA HILI KUBWA WALILOFANYA HII YOTE INALETWA NA HAWA WAZARAMO WA HAPA MJINI AMBAO WENGI WAO HAWAJAKWENDA SHULE NDIO WANAYOLETA HAYA MAUJINGA KUMBE HAWAJUI WANAHARIBU LUGHA YETU MAMA NA ADHIMU YA KISWAHILI NA NDIO MAANA HUWEZI KUWAKUTA HAPO BAKITA KIKAZI NA NDUGU ZANGU WAKURYA NA WASUKUMA WAO WAENDE JESHINI NA WAZARAMO WABAKIE NA VIGOMA VYAO FOOLISH
Sijui itawashikia wapi watu wenye kawaida ya kuongea hivyo mitaani!BARAZA la Kiswahili Taifa (BAKITA) limeonya matumizi ya maneno “Famchezo nini, Famasihara nini, na Fautani nini” yanayotumiwa na watu katika majukwaa mitandaoni likisisitiza kuwa maneno hayo sio fasaha wala sanifu.
Limeshauri watumiaji wa Kiswahili kutumia maneno “Unafanya mchezo nini, Unafanya masihara nini na Unafanya utani nini” ambayo ni fasaha na sanifu ikiwa ni sehemu ya kujivunia kiswahili ambacho ni tunu ya Taifa.
======
BAKITA yakanusha kutoa onyo la matumizi ya maneno hayo
Zaidi Tembelea jukwaa la Jamii check UZUSHI - BAKITA waonya kuhusu maneno Famasiala, Fautani