BAKWATA: Mwezi haujaandama, Sikukuu ya Eid El-Fitr itakuwa 14 May 2021 Siku ya Ijumaa, Sherehe kufanyikia Dar

Wenye iddi wanasema kesho ni siju ya kazi kama kawaida!
 
Mkuu kwani wewe una hati miliki ya dini?
Maana naona unaibinafsisha hiyo imani wakati yoyote na muda wowote aweza kuamua kuwa muislam
Mtume SAW angekua na hulka yako waislam wangekua makka na madina tuu

Acha unyimi
 
Tofautisha hayo unayoyasema na ninayokuambia mimi, maana mimi sijakunyuma wala kukukataza kuingia kundini ila hoja unataka tujadili kuhusu ikhtalafu za mwandamo wa mwezi ili hali wewe si katika sisi hiyo ni haki?
 
Sheikh Mkuu wa bakwata keshatuharibia nilikuwa nalewa haps najua kesho off
 
Miaka yote Kenya mwezi unawahi kuonekana
Sijui dhehebu kubwa la kenya ni tofauti na la tanzania au huwa wanachoka kufunga [emoji848][emoji848]

Sasa kama mwezi umeonekana watu wanachokaje kufunga?
 
Wao wana dini yao na mimi nina dini yangu. Kwa wasioelewa hapo kwenye kiarabu [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…