Sasa bakwata si taasisi ya ccm!...bakwata,uvccm,uwt nikitu kimojaKwenye siasa kuwa na msimamo unaoleweka na wa wazi ni jambo muhimu sana la kujenga heshima na kuaminika.
Ukiangalia katika siasa za Tanzania BAKWATA wao wamejifungamanisha wazi kabisa na CCM na serikali yake, hawajifichi na msimamo wao uko wazi kabisa unaeleweka kwa watawala na wafuasi wao, hawaongei kwa mafumbo na vitendawili.
Kwa upande wa TEC wao hawaeleweki wamesimama upande gani. Wanasema wanatetea haki lakini hapo hapo mguu mmoja wako ndani ya CCM na mwingine uko nje. Wanajifanya kama vile hawana "leverage" yoyote kwenye utawala.
Mfano katika uchaguzi wa 2025 BAKWATA wao walisema wazi wanaunga mkono huo uchaguzi na wakawa wanashiriki shughuli mbalimbali za uchaguzi, TEC wao walibaki nyutro wakiwa hawaeleweki wala kuwa na msimamo kama wanaunga mkono au wanaupinga huo uchaguzi!
Haki ina upande.
Hawana ushawishi, ila ni rahisi kutjmika hivyo gov inaangalia taasis ipi wanaweza tumia kupitisha ajenda zao. Hawaendi kwa taasisi established na zenye misimamoKwenye siasa kuwa na msimamo unaoleweka na wa wazi ni jambo muhimu sana la kujenga heshima na kuaminika.
Ukiangalia katika siasa za Tanzania BAKWATA wao wamejifungamanisha wazi kabisa na CCM na serikali yake, hawajifichi na msimamo wao uko wazi kabisa unaeleweka kwa watawala na wafuasi wao, hawaongei kwa mafumbo na vitendawili.
Kwa upande wa TEC wao hawaeleweki wamesimama upande gani. Wanasema wanatetea haki lakini hapo hapo mguu mmoja wako ndani ya CCM na mwingine uko nje. Wanajifanya kama vile hawana "leverage" yoyote kwenye utawala.
Mfano katika uchaguzi wa 2025 BAKWATA wao walisema wazi wanaunga mkono huo uchaguzi na wakawa wanashiriki shughuli mbalimbali za uchaguzi, TEC wao walibaki nyutro wakiwa hawaeleweki wala kuwa na msimamo kama wanaunga mkono au wanaupinga huo uchaguzi!
Haki ina upande.
So what?Kwenye siasa kuwa na msimamo unaoleweka na wa wazi ni jambo muhimu sana la kujenga heshima na kuaminika.
Ukiangalia katika siasa za Tanzania BAKWATA wao wamejifungamanisha wazi kabisa na CCM na serikali yake, hawajifichi na msimamo wao uko wazi kabisa unaeleweka kwa watawala na wafuasi wao, hawaongei kwa mafumbo na vitendawili.
Kwa upande wa TEC wao hawaeleweki wamesimama upande gani. Wanasema wanatetea haki lakini hapo hapo mguu mmoja wako ndani ya CCM na mwingine uko nje. Wanajifanya kama vile hawana "leverage" yoyote kwenye utawala.
Mfano katika uchaguzi wa 2025 BAKWATA wao walisema wazi wanaunga mkono huo uchaguzi na wakawa wanashiriki shughuli mbalimbali za uchaguzi, TEC wao walibaki nyutro wakiwa hawaeleweki wala kuwa na msimamo kama wanaunga mkono au wanaupinga huo uchaguzi!
Haki ina upande.
Highest education MADRASAKwenye ishu ya uchaguzi, BAKWATA walishiriki kwa sababu ni yes men wa mfumo.
Kwani unataka naTEC nao wakodi masheikh vibaka kama BAKWATA waanze kutangaza kukata watu vichwa? Movement za TEC ni very technical kijana hao sio akili ndogo kama hao ubwabwaUkubwa wake uko kwenye nini?
So far hawawezi kuonyesha action wamesaidia au wamechangia hatua zipi kubadilisha mambo tofauti na wasio madude makubwa.
Usiseme dude kubwa, Sema waliopotea kwa maana bado wako katika ujahiliTEC ni lidude kubwa sana kulilinganisha na hizo takataka za bakwata
Classic sign of losing an argument!Highest education MADRASA
Hata wawe wamesoma vipi ila haiondoi ukweli kuwa "wao bado wako katika ujahili" kwa maana wamepoteaMovement za TEC ni very technical kijana hao sio akili ndogo kama hao ubwabwa
TEC sio BAKWATA elewa hiloHata wawe wamesoma vipi ila haiondoi ukweli kuwa "wao bado wako katika ujahili" kwa maana wamepotea