Ndiyo lugha gani hiyo; na yenyewe umefundishwa na mungu wako Samia?Ad hominem
Ndiyo lugha gani hiyo; na yenyewe umefundishwa na mungu wako Samia?Ad hominem
Ndiyo lugha gani hiyo; na yenyewe umefundishwa na mungu wako Samia?
Hujui kusoma na kuelewa?Ametakasika Allah kutakasika kukubwa kabisa, mimi niko mbali mno na unalonitupia na Allah ni Shahidi yangu juu ya hilo. NINASHUHUDIA KUWA HAPANA MUABUDIWA WA HAKI ISIPOKUWA ALLAH NA NINASHUHUDIA KUWA MUHAMMAD NI MTUME WA ALLAAH.
Mimi nishamalizana na wewe. Siiachi Dini yangu nikakufuata wewe au mfano wako hata ukija na ad hominem au ukaja na maneno ya kufru na ushirikina ambao niko mbali nao kabisa. Ninamuomba Allah Anifishe katika Uislam na Sunnah, Aamiin.