Oö
Bugando? KCMC? Acha Peramiho na nyingine ndogo ndogo. Ilipora kama ilivyopora shule za sekondari.
Amandla...
BUGANDO ipo chini ya Kanisani katoliki ✅️
Na KCMC chini ya KKKT✅️
Oö
Bugando? KCMC? Acha Peramiho na nyingine ndogo ndogo. Ilipora kama ilivyopora shule za sekondari.
Amandla...
Inategemea unalinganisha na hospitali zipi. Aidha, sababu moja ya serikali kushindwa kuziendesha ni kutoza malipo yatakayowawezesha kuzihudumia.Lkn pia Uduma kwao bado zipo juu hakuna unafuu wowote
KKKT na Aga Khan hazina mtandao mkubwa wa hospitali kama wakatoliki. Na baadhi ya za KKKT ziko taabani.Ktk ili mm nasifu bila
upendeleo japo wanajitaidi KKKT ✅️
Jukumu la kutoa huduma za afya kwa wananchi wake ni la serikali. Wakitaka gharama ipunguzwe waongeze ruzuku. Kutoa ruzuku ni nafuu kuliko kujenga hospitali mpya.japo Watanzania wananufaika sana na uwepo wake
Sehemu mbili wanafanya vizuri sana kwenye jamii zetu
1)
Macho
2 miguu watoto wenye miguu imepinda matege
wanawanyoosha na unaweza husijue uyo mtoto ndio yule yule👈
Kwangu KKKT ruzuku za ya kodi yangu inatendewa HAKI kwao👈
Lkn nawao waone namna ya kupunguza gharama
kwa Watoto wa masikini
Bado watoto wengi wanashindwa kumudu gharama zake za kunyooshwa miguu✍️
BUGANDO ipo chini ya Kanisani katoliki ✅️
Na KCMC chini ya KKKT✅️
Mashekhe wa BAKWATA wanatoana ngeu kugombea vijinyama toka Makkah View attachment 3651713View attachment 3651713
Bugando hospital was built by the Catholic Church between 1968 and 1977. It was officially opened on 3 November 1971, by Tanzania's founding president, Julius Nyerere.
However, 13 years later, it was handed back to the Catholic Church in Tanzania, with the understanding that the hospital be run as a regional referral hospital for the Lake Zone, spanning 8 of Tanzania's 31 regions(total population 14 million in 2017), with the collaboration of the Government of Tanzania.
Hadithi ni hiyo hiyo kwa KCMC na hospitali nyingi za wagalatia.
Hiyo partnership ndio MoU inayopigiwa kelele. Bila hiyo kuwepo wangeiachia serikali iendelee nayo. Utaona hata baada ya kutaifishwa kanisa liliendelea na ujenzi wake kwa miaka mitano.
Amandla...
Inategemea unalinganisha na hospitali zipi. Aidha, sababu moja ya serikali kushindwa kuziendesha ni kutoza malipo yatakayowawezesha kuzihudumia.
KKKT na Aga Khan hazina mtandao mkubwa wa hospitali kama wakatoliki. Na baadhi ya za KKKT ziko taabani.
Jukumu la kutoa huduma za afya kwa wananchi wake ni la serikali. Wakitaka gharama ipunguzwe waongeze ruzuku. Kutoa ruzuku ni nafuu kuliko kujenga hospitali mpya.
Amandla...
Serikali inatoa ruzuku kuchangia gharama za uendeshaji wa hospitali ambazo ni kubwa mno. Lengo la serikali lilikuwa ni kujipunguzia mzigo wa kujenga hospitali mpya wakati zipo za wagalatia.Mkataba
Memorandum of
f Understanding...
Serikali itoe ruzuku ili kupiga Jeki izo taasisi ziendelea kutoa Uduma
Kwa wananchi
Lkn lengo la Serikali inaonekana kama halijafikiwa👈
Ukitaka kujua gharama za huduma za hospitali kalazwe Aga Khan. Baada ya hapo kalinganishe na ya Bugando. Kama serikali inataka mwananchi wa kawaida amudu gharama ni ama wajenge za kwao halafu wajitoe kwenye MoU. Wakijitoa, zitapanda mara dufu. Hapo ndipo tutajua kuwa hatujui.Sababu gharama za Uduma kwenye izo hospital bado zipo juu sana kwa Mwananchi wa kawaida👈
Hospitali za serikali zipo na zinaweza kuwahudumia.lkn pia Uduma zinatolewa kwa muda maalum
Sasa Binadamu kuumwa kwake ni muda wowote masaa 24
Ingekuwa hivyo wasingezirudisha kwa wagalatia. Unadhani kuhakikisha MRI inafanya kazi ni kitu kidogo? Na kuwalipa wataalam mishahara mizuri. Hapo bado huduma za maabara na ICU.Lkn pia Serikali sio kweli inaogopa kubeba mzigo wa izo
hospital nk❌️
Wana lalamika kwa sababu ni kukiuka makubaliano. Na hai make sense kujenga hospitali mahali ambapo pana hospitali tayari. Hasa kwa vile sehemu nyingi hazina hata hospitali moja.Ukweli ni baadhi ya Maaskofu ndio wanalalamika wakiona Serikali inajenga hospital maeneo ambako zipo Hospital za Kanisa✅️
Hapana. Serikali ikiondoka watakuwa huru kutoza bei wanayotaka au kufunga hospitali hizo. Kwa vyovyote vile watakao umia ni wananchi wa kawaida. Mifano iko mingi. Wananchi wa Lindi wako tayari kusafiri kufuata hospitali ya misheni wakati ya serikali iko jirani zaidi.hofu yao kuja kunyimwa ruzuku baada ya Serikali kumaliza program ya Ujenzi wa hospital zake
Hilo ni kweli.Sababu ya Serikali kufunga Mkataba kwa kipindi kile ilitokana na uwezo mdogo wa Serikali kutoa Uduma maeneo yote ya nchi👈
Kujenga majengo ni tofauti na kutoa huduma. Watu bado wanalalamikia huduma mbovu katika hospitali za serikali kuanzia upatikanaji wa dawa hadi upasuaji.lkn kwasasa Serikali inaweza kujibeba yenyewe kutoa Uduma kwa Wananchi maeneo yote ya mipaka yake👈
Watafurahi sana ikiwa hivyo lakini watakao umia ni hao unaosema unawatetea. Watu wataendelea kwenda hospitali za misheni na mazingira yatakuwa mazuri zaidi maana watakaomudu gharama ni wale wa tabaka la juu tu. Wa kawaida watabakia kwenye zile za serikali ambako huduma itaendelea kuwa mtihani.Ni wakati muafaka viongozi wa Dini wawaachie Serikali jukumu lao kuu la kutoa Uduma kwa Wananchi
wake ✍️
Hata katika nchi zilizoendelea Makanisa yana hospitali na shule zao. Yote hayo ni sehemu ya kutoa huduma za kiroho. Serikali yetu haina uwezo wa kujenga shule na hospitali za kiwango kinacho takiwa kwa wananchi wote.Kwasasa nafuu Serikali ijenge hospital zake na Universities zake
Makanisa yabaki kwenye Uduma ya kiroho tu watu waache dhambi wamuogope Mungu✍️
Zaidi ya nusu ya huduma za Kijamii zinazotolewa hapa nchini, zinatolewa na Kanisa Katoliki, then bado unahoji juu ya ukubwa wao?Ukubwa wake uko kwenye nini?
So far hawawezi kuonyesha action wamesaidia au wamechangia hatua zipi kubadilisha mambo tofauti na wasio madude makubwa.
Cha kushagaza Mtume Mohmmed aliruhuru Waislam MFIRANEWasomi wenu wa PHD lkn wanakwama kwa vijambio vya watoto tena wakiume🫎🫎✍️
Very stupid argument, Kanisa sio chama cha kisiasa lichague upande, Kanisa linasimama kupinga maovu yote, utekaji, mauaji, rushwa, ufisadi nk. Bila kujalisha yanafanywa na chama gani.Sasa haya yote yana mchango gani kama hawawezi kuwa na karata/ turufu / leverage yoyote katika kufanya mambo wanayopigia kelele yabadilike ?
Wana tofauti gani na taasisi za Askofu Gwajima au Mwamakula ??
That's why BAKWATA ni taasisi ndogo sana isiyokuwa na impact hata inapofanya maamuzi ya hovyo, ndiyo maana inafanya hivyo ili ipate support ya serikali. Ila TEC haiwezi kufanya huo upuuzi, TEC daima inasimama kwenye ukweli, Kwa sababu TEC ni kubwa kuliko hivyo vyama na Katoliki ni kubwa kuliko serikali.Mbona BAKWATA wako front kabisa wanasimama na CCM na haionekani ni mfumo Islamu au serikali iko chini ya Uislamu ?
TEC wangejitokeza waseme hawaungi mkono uchaguzi na kuwasihi waumini wake wasishiriki huo uchaguzi kwa sababu ni sham ingekuaje ni mfumo Kristo au Serikali kuwa chini ya Kanisa? Mbona BAKWATA walitoka wazi hadharani wakaweka msimamo wao na kuhimiza waumini wao kushiriki uchaguzi??
Mashekhe wa Bakwata wote ni chawa wa Samia.ivi MASHEKH wa Bakwata unawajua kweli ❗️
Ivyo vitoto kuvaa kanzu na kibagarashia kwako ndio Mashekh wa bakwata🤠🤠
Wacha dharau ndugu🤔🤔
Kwa hiyo hawakukaa kimya!TEC walikuwa kimya baadae zipo Sababu zikafanya japo kutoa matamko kuusu Corona baada wenyewe ndani yao kuanza kufa na Corona ✍️
Uayoandika hapa siyo kweli.
BAKWATA hujihusisha zaidi na kujiingiza kwenye mitafaruku mingi wanapokuwa na rais wa kiislam.
TEC walimpinga sana Magufuli, lakini hilo wewe hulihesabu.
Inalazimu sasakuyatamka waziwazi mambo haya, maana yanatupeleka pabaya.
Kwa hiyo hawakukaa kimya!
Mnachofanya kundi lenu ni mwendelezo uleule wa miaka yote, ila wakati huu imefikia hatua ya kuua waTanzania waziwazi kabisa ili matakwa yenu yakubalike.
Hili limetufikisha kwenye hatua mbaya sana, na kama hapatakuwepo na uongozi imara wa kuunganisha taifa hili pamoja, Tanzania kuanzia hapa itakuwa ni nchi ya matatizo tu, kama hayo tunayoyasikia kwingineko.
HUWEZI KUBISHANA NA MTU WA REASONING YA LEVEL YA MADRASA, NEVER ON EARTH! WATER FINDS ITS OWN LEVEL!
Ungekuwa na akili huru tayari ungejuwa kwamba wewe ni mmoja wao; unatazama maswala ya nchi katika mawani hayo hayo ya udini; na kundi hili limekuwepo miaka yote okea enzi za uhuru. Bila shaka wewe ni mhitimu wa chuo cha Kariakoo kinachofundisha haya mambo, au siyo?BAKWATA hawasumbuani na mtawala yoyote, licha ya mapungufu waliyonayo BAKWATA. Na TEC hawakumpinga Magufuli kama walivyompinga Mzee Mwinyi (Allah Amrehemu), Mzee Kikwete na sasa hivi wanavyompinga Mama Samia