Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Bado nachukua maoni ya wahusika.Wewe waonaje? au tuje na. Balukta
Bado nachukua maoni ya wahusika.Wewe waonaje? au tuje na. Balukta
Maridhiano yatajibu mambo ya MO29 na safari ya kwenda mbele, maana ndio njia ya kututoa kwenye huu mkwamo kwa amani.kuna wakati busara hutumika ktk kutatua matatizo tulizokuwa nayoBaada ya kukurukakara nyingi na vijembe kibao kwenye altare, mwishowe TEC kupitia kwa Father Kitima wanasema eti rais akishaapishwa inabidi atiiiwe!. Wananchi wanauliza, HATA KAMA NI KWA WIZI WA KURA?. TEC wanajing'atang'ata tu, hawaeleweki.
TEC wanajichanganya. Haijulikani wao ni baridi au wa moto.
Kwahiyo serikali iendelee KUBA, KUPORA, KUUA WATU na kila mwenye akili timamu akae kimya kwasababu wewe SHEIKH UBWABWA umepewa TENDE???
Aisee, Nadhani kati ya kitu cha ovyo kimewahi kutokea dunia hii ni hii DINI YA NGONO na UNAFIKI.
TEC ni genge la wahuni linalotumika na CHADEMA
Ushasema BAKWATA na CCM ni damu damu, maana yake BAKWATA ni wanachama wa CCM, tofauti na TEC ni taasisi ya dini, na dini imebeba waumini wote, Kuto kuwa na upande ni sawa sawa kabisa TEC wanachoambia waumini wao wwatende haki, wawe waadilifu kama Biblia inavyoelekeza, BAKWATA kubwa CCM sio sifa inatakiwa iwe ni udhaifu kwa sababu si waislamu wote wanaunga mkono CCM kwa mantiki hiyo BAKWATA kuwa chombo cha kuwaunganisha waislamu kimekosa sifa, ndio maana utaona upinzani ndani yao ni mkubwa, hiyo hiyo BAKWATA haiungwi mkono na waislamu wote, tofauti na TEC
Shekhe ana elimu ya madrasa, lazima awe na ushawishi huko serikalini mana ndio watu wanaopendwa mana hawajitambui, n mwendo wa kupewa sahani ya wali tuu kwisha
Bakwata haiwezi kujiendesha bila kushikwa mkono. Hawa wataunga mkono chama chochote kilichokuwa madarakani.
TEC wana ubavu wa kuwa neutral kwa sababu wanajitegemea kwa kila kitu. Hicho ndicho kinawapa uwezo wa kuwa juu ya siasa za kichama.
Amandla...
Kugawa ili utawale ndio inayo tumia kwa sasa
Inaonekana wewe ni akili kisoda, na kama sihivyo, unalishwa matango pori, ili mtete "....…." Kwa kuwa ni mwenzetu
Maridhiano kati ya nani na nani na waridhiane nini, kwenye kitu gani kwa nini na nani kamkosea nani mpaka waridhiane?.Maridhiano yatajibu mambo ya MO29 na safari ya kwenda mbele, maana ndio njia ya kututoa kwenye huu mkwamo kwa amani.kuna wakati busara hutumika ktk kutatua matatizo tulizokuwa nayo
Waambie BAKWATA waishawishi USA waondoe visa ban basi
Asiyejua maanaIli mwende wapi mnatakiwa m'baki ili kujenga nchi yenu
Mnaenda kuzeekea kwa Wazungu kisha mnafukuzwa mkiwa
wazee👈
Huyu jamaa anataka kukuza mfarajano wa kidini, ili kuutumia kama mbinu ya Kuacha kuangalia madhila ya nchi tuangalie tofauti zetu wezi wapite kwa kasi
Kwahiyo serikali iendelee KUBA, KUPORA, KUUA WATU na kila mwenye akili timamu akae kimya kwasababu wewe SHEIKH UBWABWA umepewa TENDE???
Aisee, Nadhani kati ya kitu cha ovyo kimewahi kutokea dunia hii ni hii DINI YA NGONO na UNAFIKI.
Uayoandika hapa siyo kweli.
BAKWATA hujihusisha zaidi na kujiingiza kwenye mitafaruku mingi wanapokuwa na rais wa kiislam.
TEC walimpinga sana Magufuli, lakini hilo wewe hulihesabu.
Inalazimu sasakuyatamka waziwazi mambo haya, maana yanatupeleka pabaya.