Suala la Haki sio la kidini , suala la kitaifa, tutende haki
Kutenda haki neno HAKI sio jambo dogo lkn
Chakushangaza viongozi wako wa kidini kwao HAKI inamakengeza
Matukio yasasa yalitokea miaka ya
Ile ktk chaguzi ya mwaka 2000 chama cha CUF ndio kilikuwa na nguvu zaidi 👈
Kukatokea Maandamano kupinga Uchaguzi kupinga Tume ya Uchunguzi kutaka Mabadiriko ya KATIBA👈
Waandamanaji
kukatokea MAUAJI
makubwa 👈
Lkn kwakuwa Rais alikuwa Mkristo Mkatoliki
Viongozi awa wa TEC kipindi kile wakawa wanatoa Matamko ya kuunga mkono Serikali 👈
ilkn sii vyo tu ❗️
waliitaka Serikali waongoze kibano kwa Waandamanaji
na wanaowafadhili👈
Kwaiyo Wakristo wengi kipindi kile walikuwa upande wa Serikali 👈
Leo tunawashangaa kudai kupigania HAKI
kwakuwa tu Rais ni Muislamu
Ndiomana Waislamu wengi wameshtuka michezo yao
Leo Father Kitima anataka Serikali ilipe fidia kwa Mo29
Vile sasa wamegundua wengi waliokufa ni Wakristo
Lkn miaka ile ya 2000 chama CUF walitaka kupewa Fidia waanga wa mauaji ya 27/01/ 2001
Lkn Kanisa katoliki wakapinga kwa kumshinikiza Rais Benjamin William Mkapa Mkatoliki mwenzao kuwapuuza
Sasa wakidai
wanapigania HAKI
Ipi mbona mbele za MUNGU ni Wanafiki
Ndiomana jamii ya Waislamu wamekasilishwa na UNAFIKI wao kuwadanganya watoto wa miaka 2007 wasiojua uko nyuma walifanya nini kwenye kadhia za kufanana kama Sasa
Tofauti tu kipindi kile Rais ni Mkristo mwenzao nasasa ni Muislamu
JE HAKI kwao inamakengeza
MASHEKH wengi walichukizwa kile kipindi kwa Kanisa katoliki kujiingiza waziwazi kutoa matamko yale ili watoto wao wauwawe na mbaya zaidi kunyimwa zaidi HAKI ya Fidia
Kiujumla Kanisa katoliki ni vimbelembele sana.
Sasa Ndiomana alakati zao zasasa haziwezi kufanikiwa mana japo kipindi kile wangekaa kimya iwe wapo kimyaaa
Lkn furaha yao ilikuwa ni kusagwa kwa Waislamu baada kupatikana fursa ya kuwasaga
Leo nawao wamesagwa na kusagika haswa
project yake imeshindwa
Ndio Father Kitima anakumbuka kuna Fidia 👈
napo hakuna Fidia👈
hakuna kuomba msamaha👈
ikwishe kama ilivokwisha
ileeeee 2001👈
Tujue aya Mo29 👈
Na 27/01/2001 👈
Zote chanzo ni Siasa na kudai mabadiliko ya KATIBA Sheria za Uchaguzi 👈
MUNGU NI WAWOTE
Kipindi kile pia Wazazi waliumizwa vibaya sana kwa kuzikwa watoto wao wangali vijana kabisa👈
na Fidia wakanyimwa👈
Kuombwa msamaha pia kukakosekana na Rais rip Benjamin William Mkapa
Kaja kuomba msamaha kwenye kitabu chake baada kuondoka Madaraka n ✅️
leo Waislamu wapo pamoja na Serikali kuzuiya kitendo chochote cha kuwatonesha Wazazi wale wa mwaka 2001
wanaugulia mpaka leo 👈
Mfano Rais hakija Mkristo 2030 hakitoa Fidia mjue kivyovyote na wale wa 2001 watapewa HAKI YAO kwa kipimo icho icho
Muda ndio utaamua lini wapewe HAKI YAO,✍️