BAKWATA wana ushwawishi na nguvu kubwa kuliko TEC katika siasa za nchi

TEC hawahusiki na matusi yangu na hasa kwa wajinga wajinga kama nyie kutoka BAKWATA mnao waza kuchinja wenzenu vichwa wapuuzi kabisa nyie

Hii miaka 3, imethibisha nani anajua na nani yupo yupo.

Mambo yamevurugika mazima😀😀😀😀😀
 
Kwenye siasa kuwa na msimamo unaoleweka na wa wazi ni jambo muhimu sana la kujenga heshima na kuaminika.

Ukiangalia katika siasa za Tanzania BAKWATA wao wamejifungamanisha wazi kabisa na CCM na serikali yake, hawajifichi na msimamo wao uko wazi kabisa unaeleweka kwa watawala na wafuasi wao, hawaongei kwa mafumbo na vitendawili.

Kwa upande wa TEC wao hawaeleweki wamesimama upande gani. Wanasema wanatetea haki lakini hapo hapo mguu mmoja wako ndani ya CCM na mwingine uko nje. Wanajifanya kama vile hawana "leverage" yoyote kwenye utawala.

Mfano katika uchaguzi wa 2025 BAKWATA wao walisema wazi wanaunga mkono huo uchaguzi na wakawa wanashiriki shughuli mbalimbali za uchaguzi, TEC wao walibaki nyutro wakiwa hawaeleweki wala kuwa na msimamo kama wanaunga mkono au wanaupinga huo uchaguzi!

Haki ina upande.
Siasa za nchi hii zinafahamika kuhusiana milengo ya kidini. Mtawala akiwa ni Mkristo Mkatoliki TEC hutawasikia wakipingana naye moja kwa moja, ama hukaa kimya hata pale kwa makusudi anapokiuka matakwa ya Katiba na sheria.

Hali kadhalika huwa ni hivyo hivyo endapo mtawala wa Kiisilamu anapotawala. BAKWATA madhehebu ya Shia humuunga mkono kwa kila kitu hata kwa mambo ya hovyo kabisa anayoyafanya. Ni muda muafaka sasa wa kuwaamini viongozi wa madhehebu ya Kipendekoste ama Sunni ili tuweze ku taste ladha ya tawala zao.

The spiral of these two domination based regimes are now out of control and besides the victims of circumstances are stroke by their biased and prejudiced actions.

Hayo yote tumeyashuhidia Kwa Wakatoliki Nyerere, Mkapa, na Magufuli. Na pia kwa Waislamu wa madhehebu ya Shia, yaani Mwinyi Sr, Kikwete, na Samia ingawaje yeye kapwaya kwa kupitiliza kuliko viwango vyote.
 
Waislam ni VICTIM wa kitu gani nchi hii??
Kasema humo ndani "mfumo Kristo"; karata wanayopenda kuitumia siku zote kiasi kwamba hata haichuji!

Binafsi naamini kuwa matatizo ya hawa watu yanatokana na huko ndani ya dini yenyewe. Kuna 'contradictions' nyingi zinazofanya wakati wote wasiwe watulivu; hata katika nchi ambazo hazina dini nyingine zinazoingiza huo mfumo Kristo unaotolewa kama sababu.
 
Siasa za nchi hii zinafahamika kuhusiana milengo ya kidini. Mtawala akiwa ni Mkristo Mkatoliki TEC hutawasikia wakipingana naye moja kwa moja, ama hukaa kimya hata pale kwa makusudi anapokiuka matakwa ya Katiba na sheria.

Hali iko hivyo hivyo endapo mtawala anapotawala. BAKWATA madhehebu ya Shia humuunga mkono kwa kila kitu hata kwa mambo ya hovyo. Ni muda muafaka sasa wa kuwaamini viongozi wa madhehebu ya Kipendekoste ama Sunni ili tuweze ku taste ladha ya tawala zao.
Uayoandika hapa siyo kweli.
BAKWATA hujihusisha zaidi na kujiingiza kwenye mitafaruku mingi wanapokuwa na rais wa kiislam.
TEC walimpinga sana Magufuli, lakini hilo wewe hulihesabu.

Inalazimu sasakuyatamka waziwazi mambo haya, maana yanatupeleka pabaya.
 
Kwenye siasa kuwa na msimamo unaoleweka na wa wazi ni jambo muhimu sana la kujenga heshima na kuaminika.

Ukiangalia katika siasa za Tanzania BAKWATA wao wamejifungamanisha wazi kabisa na CCM na serikali yake, hawajifichi na msimamo wao uko wazi kabisa unaeleweka kwa watawala na wafuasi wao, hawaongei kwa mafumbo na vitendawili.

Kwa upande wa TEC wao hawaeleweki wamesimama upande gani. Wanasema wanatetea haki lakini hapo hapo mguu mmoja wako ndani ya CCM na mwingine uko nje. Wanajifanya kama vile hawana "leverage" yoyote kwenye utawala.

Mfano katika uchaguzi wa 2025 BAKWATA wao walisema wazi wanaunga mkono huo uchaguzi na wakawa wanashiriki shughuli mbalimbali za uchaguzi, TEC wao walibaki nyutro wakiwa hawaeleweki wala kuwa na msimamo kama wanaunga mkono au wanaupinga huo uchaguzi!

Haki ina upande.
Tatizo TEC wanataka kuidogosha serikali na kutaka Serikali ifuate maagizo na matakwa yao, kitu ambacho ni ndoto za alinacha
 
Kwahiyo serikali iendelee KUBA, KUPORA, KUUA WATU na kila mwenye akili timamu akae kimya kwasababu wewe SHEIKH UBWABWA umepewa TENDE???

Aisee, Nadhani kati ya kitu cha ovyo kimewahi kutokea dunia hii ni hii DINI YA NGONO na UNAFIKI.
 
BAKWATA WANAUNGA MKONO MAMBO YAFUATAYO.

1. Utekaji.
2. Mauaji ya kutisha na Mauaji ya Maelfu ya watu ( October 29.)
3. Kupotezwa kwa Watu..
4. Uhuru wa vyombo vya habari.
5. Uhuru wa kutoa maoni.
6. Kubambikia kesi za uongo akina Lissu, Mboye, Bony, Malisa CHADEMA NK
7. Kukandamiza Uhuru wa kuabudu.
___________
8. Rushwa.
9. Ufisadi.
10. Ukiukwaji wa Haki za Binadamu.
Inna Llilah
 
Kwahiyo serikali iendelee KUBA, KUPORA, KUUA WATU na kila mwenye akili timamu akae kimya kwasababu wewe SHEIKH UBWABWA umepewa TENDE???

Aisee, Nadhani kati ya kitu cha ovyo kimewahi kutokea dunia hii ni hii DINI YA NGONO na UNAFIKI.
TEC ni taasisi ya Dini kama zingine, hazina mamlaka na amri kwa Rais wa JMT
 
Sema wana ushawishi na kutumika kwa Siasa za ccm na sio siasa za nchi.

Hilo liko wazi, ndio mana wao kila kitu hewala hewala kwa ccm.

Awamu hii hata waislam wengi sana wameidharau sana bakwata.
Sasa mle bakwata si ni elimu ya madrasa na quran zao tu ila shule hawajaenda watapata wapi nguvu na akili ya kujua jema na baya
 
TEC ni lidude kubwa sana kulilinganisha na hizo takataka za bakwata
Huyu jamaa anataka kukuza mfarajano wa kidini, ili kuutumia kama mbinu ya Kuacha kuangalia madhila ya nchi tuangalie tofauti zetu wezi wapite kwa kasi
 
Kwenye siasa kuwa na msimamo unaoleweka na wa wazi ni jambo muhimu sana la kujenga heshima na kuaminika.

Ukiangalia katika siasa za Tanzania BAKWATA wao wamejifungamanisha wazi kabisa na CCM na serikali yake, hawajifichi na msimamo wao uko wazi kabisa unaeleweka kwa watawala na wafuasi wao, hawaongei kwa mafumbo na vitendawili.

Kwa upande wa TEC wao hawaeleweki wamesimama upande gani. Wanasema wanatetea haki lakini hapo hapo mguu mmoja wako ndani ya CCM na mwingine uko nje. Wanajifanya kama vile hawana "leverage" yoyote kwenye utawala.

Mfano katika uchaguzi wa 2025 BAKWATA wao walisema wazi wanaunga mkono huo uchaguzi na wakawa wanashiriki shughuli mbalimbali za uchaguzi, TEC wao walibaki nyutro wakiwa hawaeleweki wala kuwa na msimamo kama wanaunga mkono au wanaupinga huo uchaguzi!

Haki ina upande.
Akili za nyani hizi....
 
Waambie BAKWATA waishawishi USA waondoe visa ban basi
 
Bakwata haiwezi kujiendesha bila kushikwa mkono. Hawa wataunga mkono chama chochote kilichokuwa madarakani.
TEC wana ubavu wa kuwa neutral kwa sababu wanajitegemea kwa kila kitu. Hicho ndicho kinawapa uwezo wa kuwa juu ya siasa za kichama.

Amandla...
 
Msimamo wa TEC ulikuwa upi kuhusu uchaguzi uliopita ?
Msimamo wa TEC umekuwa upi kuhusu hizi tume tume??
Inaonekana wewe ni akili kisoda, na kama sihivyo, unalishwa matango pori, ili mtete "....…." Kwa kuwa ni mwenzetu
 
Wakati Samia analalamika kwamba wanamkosoa, akahamaki, hukuona??Hicho ndo wanaweza kufanya, na kwa mtu mwenye kusikia angesikia.
Huyo katibu wa TEC mpaka wakataka kumuua kwa kipigo sababu ni nini, si kusumbua na kuonyesha mapungufu ya serikali Au uliona Shehe wa BAKWATA kapata kipigo? TEC wanafanya wanachoweza

Uyo Father Kitima hajaguswa na yoyote
Kwasababu zozote

Yule kaanguka mwenyewe akataka
iwe Kiki
Kuwa kavamiwa
kataka tu kukuza tukio

Baada Polisi kusema Father Kitima alipata kinywaji

KIKI yake ikabuma✍️
 
Back
Top Bottom