Nashindwa kuunganisha mstari huu hapa, ambao una maneno mazuri; lakini hauendani kabisa na kichwa cha mada husika.Kwenye siasa kuwa na msimamo unaoleweka na wa wazi ni jambo muhimu sana la kujenga heshima na kuaminika.
"BAKWATA wana ushawishi na nguvu kubwa kuliko TEC katika "siasa"(?) za nchi"?
Ina maana BAKWATA wanaeleweka vizuri na waTanzania juu ya hali ya kisiasa iliyopo?
Kwa hiyo 'TEC' wasioeleweka kisiasa ndio wanaozua taharuki miongoni mwa jamii ya waTanzania?
Hiyo "nguvu na ushawishi" waliyonayo BAKWATA wanaipata toka kwa nani, kwa waTanzania?