Sihitaji kumjua.Ndiomana nakwambia umjui Shekhe ponda vizuri
Zaidi unamjua juu juu tu.
Najua harakati zake.
Mojawapo ikiwa ni vita juu ya BAKWATA.
Mengine ya famikia yake, hayanihusu.
Sihitaji kumjua.Ndiomana nakwambia umjui Shekhe ponda vizuri
Zaidi unamjua juu juu tu.
Sasa mbona walitaka kuangusha serikali kwa kutumia waumini wao wanaodai kuwa ni wengi na wakashindwa?...Kwani unataka naTEC nao wakodi masheikh vibaka kama BAKWATA waanze kutangaza kukata watu vichwa? Movement za TEC ni very technical kijana hao sio akili ndogo kama hao ubwabwa
Kwenye siasa kuwa na msimamo unaoleweka na wa wazi ni jambo muhimu sana la kujenga heshima na kuaminika.
Ukiangalia katika siasa za Tanzania BAKWATA wao wamejifungamanisha wazi kabisa na CCM na serikali yake, hawajifichi na msimamo wao uko wazi kabisa unaeleweka kwa watawala na wafuasi wao, hawaongei kwa mafumbo na vitendawili.
Kwa upande wa TEC wao hawaeleweki wamesimama upande gani. Wanasema wanatetea haki lakini hapo hapo mguu mmoja wako ndani ya CCM na mwingine uko nje. Wanajifanya kama vile hawana "leverage" yoyote kwenye utawala.
Mfano katika uchaguzi wa 2025 BAKWATA wao walisema wazi wanaunga mkono huo uchaguzi na wakawa wanashiriki shughuli mbalimbali za uchaguzi, TEC wao walibaki nyutro wakiwa hawaeleweki wala kuwa na msimamo kama wanaunga mkono au wanaupinga huo uchaguzi!
Haki ina upande.
Kwani unataka naTEC nao wakodi masheikh vibaka kama BAKWATA waanze kutangaza kukata watu vichwa? Movement za TEC ni very technical kijana hao sio akili ndogo kama hao ubwabwa
Kuwa neutral ni jambo jema ila lazima walio neutral wawe wanatetea haki na wanakemea maovu.Kwenye siasa kuwa na msimamo unaoleweka na wa wazi ni jambo muhimu sana la kujenga heshima na kuaminika.
Ukiangalia katika siasa za Tanzania BAKWATA wao wamejifungamanisha wazi kabisa na CCM na serikali yake, hawajifichi na msimamo wao uko wazi kabisa unaeleweka kwa watawala na wafuasi wao, hawaongei kwa mafumbo na vitendawili.
Kwa upande wa TEC wao hawaeleweki wamesimama upande gani. Wanasema wanatetea haki lakini hapo hapo mguu mmoja wako ndani ya CCM na mwingine uko nje. Wanajifanya kama vile hawana "leverage" yoyote kwenye utawala.
Mfano katika uchaguzi wa 2025 BAKWATA wao walisema wazi wanaunga mkono huo uchaguzi na wakawa wanashiriki shughuli mbalimbali za uchaguzi, TEC wao walibaki nyutro wakiwa hawaeleweki wala kuwa na msimamo kama wanaunga mkono au wanaupinga huo uchaguzi!
Haki ina upande.
Ndio maana inasemekana wana takwimu kamili ya vifo vilivyotokana na mauaji ya october 25.Catholic sio dini ni institution
Ina mahospitali, mashule, vyuo nchi nzima
Ukiangalia earnings zao za sadaka ni ernings za serikali baadhi ya wilaya
Ukiangalia structure na vichwa vya viongozi wa kidini. Wapo well learned kidunia na kidini kwa hiyo sio watu utawayumbisha kwa sophistication ama intellect kwa sababu wao ndio maisha yao.
Yote kwa yote, ni namba ya waumini walionayo na structure ya kanisa ambayo ipo uniform. Kinachofanyika songwe jumapili hii ndicho kinachofanyika dar so ni ngumu kutengeneza mamluki au uchawa tofauti na kanisa la mtu mmoja
So kuifananisha TEC na BAKWATA ni kufananisha kifo na usingizi labda kama BAKWATA ingekuwa hata na uungwaji mkono wa waislamu wote kitu ambacho hawana
Nadhani unalinganisha taasisi mbili zisizolinganishika. Kimsingi, BAKWATA ni jumuiya ya CCM kama zilivyo jumuiya zingine za CCM (Vijana, Wazazi, Wanawake, etc). Msimamo wa CCM ndio msimamo wa jumuiya zake zote!Kwenye siasa kuwa na msimamo unaoleweka na wa wazi ni jambo muhimu sana la kujenga heshima na kuaminika.
Ukiangalia katika siasa za Tanzania BAKWATA wao wamejifungamanisha wazi kabisa na CCM na serikali yake, hawajifichi na msimamo wao uko wazi kabisa unaeleweka kwa watawala na wafuasi wao, hawaongei kwa mafumbo na vitendawili.
Kwa upande wa TEC wao hawaeleweki wamesimama upande gani. Wanasema wanatetea haki lakini hapo hapo mguu mmoja wako ndani ya CCM na mwingine uko nje. Wanajifanya kama vile hawana "leverage" yoyote kwenye utawala.
Mfano katika uchaguzi wa 2025 BAKWATA wao walisema wazi wanaunga mkono huo uchaguzi na wakawa wanashiriki shughuli mbalimbali za uchaguzi, TEC wao walibaki nyutro wakiwa hawaeleweki wala kuwa na msimamo kama wanaunga mkono au wanaupinga huo uchaguzi!
Haki ina upande.
Kama wanazo takwimu zao kamili kwa nini hawaziweki hadharani ? Hizo takwimu za sirini hazimsaidii yeyote, hazina maana.Ndio maana inasemekana wana takwimu kamili ya vifo vilivyotokana na mauaji ya october 25.
Sababu ya structure ya taasisi yao inayofika hadi mashinani.
Yoda nimesema “inasemekana “ don’t come for me plz 🤣Kama wanazo takwimu zao kamili kwa nini hawaziweki hadharani ? Hizo takwimu za sirini hazimsaidii yeyote, hazina maana.
Askofu Tutu sellout aliye-support ushoga mpaka na binti yake akaoa mwanamke wa Kizungu? Fedha za Church of England zilimtoa ufahamu mpaka akajitenga na Anglicans wenzake kutoka nchi nyingine za Afrika walipopinga legalization ya ushoga...uko sahihi.
..Tanzania bado inamtafuta Askofu Desmond Tutu wake.
Kwenye siasa kuwa na msimamo unaoleweka na wa wazi ni jambo muhimu sana la kujenga heshima na kuaminika.
Ukiangalia katika siasa za Tanzania BAKWATA wao wamejifungamanisha wazi kabisa na CCM na serikali yake, hawajifichi na msimamo wao uko wazi kabisa unaeleweka kwa watawala na wafuasi wao, hawaongei kwa mafumbo na vitendawili.
Kwa upande wa TEC wao hawaeleweki wamesimama upande gani. Wanasema wanatetea haki lakini hapo hapo mguu mmoja wako ndani ya CCM na mwingine uko nje. Wanajifanya kama vile hawana "leverage" yoyote kwenye utawala.
Mfano katika uchaguzi wa 2025 BAKWATA wao walisema wazi wanaunga mkono huo uchaguzi na wakawa wanashiriki shughuli mbalimbali za uchaguzi, TEC wao walibaki nyutro wakiwa hawaeleweki wala kuwa na msimamo kama wanaunga mkono au wanaupinga huo uchaguzi!
Haki ina upande. tumefikia mahali ambapo mambo yamekuwa bayana kwa kila mmoja. Nadhani inabidi huku kufumbafumba hata hao TEC waachane nako. Wawe wawazi tu kwamba BAKWATA ndio wanaoendesha TANZANIA sasa hivi; ndiyo maana wamefungamana na CCM.
Basi hata Julius Malema ni sellout kwa sababu anasapoti mashoga.Askofu Tutu sellout aliye-support ushoga mpaka na binti yake akaoa mwanamke wa Kizungu? Fedha za Church of England zilimtoa ufahamu mpaka akajitenga na Anglicans wenzake kutoka nchi nyingine za Afrika walipopinga legalization ya ushoga.
WaTanzania hawatasubiri majibu ya huko kwa Allah. Majibu yao wanayataka hapahapa.Hata wawe wamesoma vipi ila haiondoi ukweli kuwa "wao bado wako katika ujahili" kwa maana wamepotea
Kwa bakwata, kama wanatumika kisiasa basi kwa Allah watakua na lakujibu.
Mada kama hii unapoteza muda na ajenda mbovu kama hiyo inayopoteza muda bure?Basi hata Julius Malema ni sellout kwa sababu anasapoti mashoga.
Askofu Tutu sellout aliye-support ushoga mpaka na binti yake akaoa mwanamke wa Kizungu? Fedha za Church of England zilimtoa ufahamu mpaka akajitenga na Anglicans wenzake kutoka nchi nyingine za Afrika walipopinga legalization ya ushoga.
Basi hata Julius Malema ni sellout kwa sababu anasapoti mashoga.
Malema si kiongozi wa kanisa, yuko sahihi kabisa kuwa msimamo wake huo na ni haki kwa chama chao kuwa na msimamo huo kwani wao hawabanwi na vitabu vya dini(I'm not religious). Ni aibu kwa kiongozi wa kidini kwenda kinyume na vitabu anavyowaaminisha waumini wake.Basi hata Julius Malema ni sellout kwa sababu anasapoti mashoga.
Back then he was an amazing leader...nazungumzia rekodi ya Desmond Tutu kabla hajaunga mkono ushoga.