BAKWATA wana ushwawishi na nguvu kubwa kuliko TEC katika siasa za nchi

BAKWATA wana ushwawishi na nguvu kubwa kuliko TEC katika siasa za nchi

Sasa mbona walitaka kuangusha serikali kwa kutumia waumini wao wanaodai kuwa ni wengi na wakashindwa?...
Hizo technical movement ni zipi?
TEC now wanadharaulika na gov kuliko taasisi yeyote nchi hii
Inasikitisha sana nadhani huijui vatcan vizuri, hakuna kiongozi hapigi goti kwa papa, nadhani uliona namna combo safari zilikuwa hazikauki kwenda vatcan, jiulize kwanini hakwenda Makka?
 
Bakwata ni kifaranga cha serikali ni kama tu Idara au shirika la Serikali hawawezi kupinga maamuzi ya mabwana zao. Bakwata haina ushawishi wowote ndio maana inapingwa na waislamu kote nchini.
 
Kwenye LDCs kuunga mkono serikali ni basic requirement of success. Kingine mzungu akisema kabaguliwa sio issue kubwa kama mweusi au Asian akisema kabaguliwa. Kwa hiyo victim siku zote ana haki kuwa victimized lakini anaeonekana superior akiwa victim inaonekana anastahili

Nikimaanisha, muislamu kuunga serikali mkono na kusema yupo nae haina shida sana kwa sababu inatoka kwenye "victim" Side ya mfumo kristu, ila TEC ikienda front na kumchagua mtu flani lazma ionekane kama ni muendelezo wa "mfumo kristu"..

Kwa hiyo TEC kutokwenda front na kupinga tendencies za serikali ni kutumia haki yake ya kikatiba lakini haijaipinga CCM. Kwa sababu ingekuwa ni activism

Hiyo extremism unayoitaka italeta hasara kuliko faida kwa hiyo mimi naona TEC wanasukuma kete zao kisomi na si kimihemko kama unavyotaka wafanye
Waislam ni VICTIM wa kitu gani nchi hii??
 
Kumbe mnataka amtoe Samiah. Mngesema mapema kuliko kuzunguka zunguka.
Hilo Dude halimtaki Samia since day one lkn wamechemka kwa mtu mwenye elimu ya Madrasa tu wameishia kutoa waraka baada ya waraka
 
Bar kwata ya mwaipopo inanguvu na ushawishi kuliko TEC ya kitima😹😹.
 
Kwenye siasa kuwa na msimamo unaoleweka na wa wazi ni jambo muhimu sana la kujenga heshima na kuaminika.

Ukiangalia katika siasa za Tanzania BAKWATA wao wamejifungamanisha wazi kabisa na CCM na serikali yake, hawajifichi na msimamo wao uko wazi kabisa unaeleweka kwa watawala na wafuasi wao, hawaongei kwa mafumbo na vitendawili.

Kwa upande wa TEC wao hawaeleweki wamesimama upande gani. Wanasema wanatetea haki lakini hapo hapo mguu mmoja wako ndani ya CCM na mwingine uko nje. Wanajifanya kama vile hawana "leverage" yoyote kwenye utawala.

Mfano katika uchaguzi wa 2025 BAKWATA wao walisema wazi wanaunga mkono huo uchaguzi na wakawa wanashiriki shughuli mbalimbali za uchaguzi, TEC wao walibaki nyutro wakiwa hawaeleweki wala kuwa na msimamo kama wanaunga mkono au wanaupinga huo uchaguzi!

Haki ina upande.
Mbona padri mmoja mdogo tu anapoongea tena kwa utani tu viongozi wa nchi wanachanganyikiwa. Kuna siku watu wa ubwawa waliropoka kama vichaa lakini hakuna aliyejali.
 
Kwenye siasa kuwa na msimamo unaoleweka na wa wazi ni jambo muhimu sana la kujenga heshima na kuaminika.

Ukiangalia katika siasa za Tanzania BAKWATA wao wamejifungamanisha wazi kabisa na CCM na serikali yake, hawajifichi na msimamo wao uko wazi kabisa unaeleweka kwa watawala na wafuasi wao, hawaongei kwa mafumbo na vitendawili.

Kwa upande wa TEC wao hawaeleweki wamesimama upande gani. Wanasema wanatetea haki lakini hapo hapo mguu mmoja wako ndani ya CCM na mwingine uko nje. Wanajifanya kama vile hawana "leverage" yoyote kwenye utawala.

Mfano katika uchaguzi wa 2025 BAKWATA wao walisema wazi wanaunga mkono huo uchaguzi na wakawa wanashiriki shughuli mbalimbali za uchaguzi, TEC wao walibaki nyutro wakiwa hawaeleweki wala kuwa na msimamo kama wanaunga mkono au wanaupinga huo uchaguzi!

Haki ina upande.
Wanafiki hawana lolote njaa kali sana hao
 
Unazungumzia watu ambao wanaweza kugeuza msimamo wao kwa ahadi ya pilau tu.

Hao watu wanaweza vipi kuwa na ushahiwishi ?
 
Baada ya kukurukakara nyingi na vijembe kibao kwenye altare, mwishowe TEC kupitia kwa Father Kitima wanasema eti rais akishaapishwa inabidi atiiiwe!. Wananchi wanauliza, HATA KAMA NI KWA WIZI WA KURA?. TEC wanajing'atang'ata tu, hawaeleweki.

TEC wanajichanganya. Haijulikani wao ni baridi au wa moto.
 
Ukubwa wake uko kwenye nini?
So far hawawezi kuonyesha action wamesaidia au wamechangia hatua zipi kubadilisha mambo tofauti na wasio madude makubwa.
Wakati Samia analalamika kwamba wanamkosoa, akahamaki, hukuona??Hicho ndo wanaweza kufanya, na kwa mtu mwenye kusikia angesikia.
Huyo katibu wa TEC mpaka wakataka kumuua kwa kipigo sababu ni nini, si kusumbua na kuonyesha mapungufu ya serikali Au uliona Shehe wa BAKWATA kapata kipigo? TEC wanafanya wanachoweza
 
Hujiita VICTIMS wa mfumo kristu..

Sio waislamu wote ila wengi pia wanaamini hivyo
Waislam wengi wana shida ya kujilemaza sana.

Wanatafutaga favor isiyo na sababu yoyote ya msingi.

Imagine, hata suala la kujiunga na OIC, wanachoamini wakijiunga watapewa misaada au Zanzibar nje ya Muungano itapewa misaada na Mwarabu.

Kitu, ambacho kiko wazi kuwa nje ya Muungano, huko Zanzibar watu weusi wote wangekuwa walishafutwa kama Sychelles na Mauritius.
 
Back
Top Bottom