BAKWATA wana ushwawishi na nguvu kubwa kuliko TEC katika siasa za nchi

Catholic sio dini ni institution

Ina mahospitali, mashule, vyuo nchi nzima

Ukiangalia earnings zao za sadaka ni ernings za serikali baadhi ya wilaya

Ukiangalia structure na vichwa vya viongozi wa kidini. Wapo well learned kidunia na kidini kwa hiyo sio watu utawayumbisha kwa sophistication ama intellect kwa sababu wao ndio maisha yao.

Yote kwa yote, ni namba ya waumini walionayo na structure ya kanisa ambayo ipo uniform. Kinachofanyika songwe jumapili hii ndicho kinachofanyika dar so ni ngumu kutengeneza mamluki au uchawa tofauti na kanisa la mtu mmoja

So kuifananisha TEC na BAKWATA ni kufananisha kifo na usingizi labda kama BAKWATA ingekuwa hata na uungwaji mkono wa waislamu wote kitu ambacho hawana
Sasa haya yote yana mchango gani kama hawawezi kuwa na karata/ turufu / leverage yoyote katika kufanya mambo wanayopigia kelele yabadilike ?
Wana tofauti gani na taasisi za Askofu Gwajima au Mwamakula ??
 
TEC sio BAKWATA elewa hilo
Hao hao tech wamepotea, bado wapo katika ujahili

Bakwata kama wanatumika kisiasa, na hawapo kwa ajili ya waislamu basi watakua na majibu mbele ya Mwenyezi Mungu.

ayat 64 from Surah Al-Ankabut

﴿وَمَا هَٰذِهِ الْحَيَاةُ الدُّنْيَا إِلَّا لَهْوٌ وَلَعِبٌ ۚ وَإِنَّ الدَّارَ الْآخِرَةَ لَهِيَ الْحَيَوَانُ ۚ لَوْ كَانُوا يَعْلَمُونَ﴾
[ العنكبوت: 64]

Na haya maisha ya dunia si chochote ila ni pumbao na mchezo. Na nyumba ya Akhera ndiyo maisha khasa; laiti wangeli kuwa wanajua!
 
BAKWATA ni CCM B hasa aliyeko on throne akiwa wa upande wao, yaani kama hivi Sa100 basi hawa jamaa wanajifungamaisha na utawala kwa asilimia zote, ila akiwepo wa upande mwingine hawa jamaa wanakuwa vuguvugu, ndumilakuwili wanashindwa washike au waachie.
 
Kwenye siasa kuwa na msimamo unaoleweka na wa wazi ni jambo muhimu sana la kujenga heshima na kuaminika.

Ukiangalia katika siasa za Tanzania BAKWATA wao wamejifungamanisha wazi kabisa na CCM na serikali yake, hawajifichi na msimamo wao uko wazi kabisa unaeleweka kwa watawala na wafuasi wao, hawaongei kwa mafumbo na vitendawili.

Kwa upande wa TEC wao hawaeleweki wamesimama upande gani. Wanasema wanatetea haki lakini hapo hapo mguu mmoja wako ndani ya CCM na mwingine uko nje. Wanajifanya kama vile hawana "leverage" yoyote kwenye utawala.

Mfano katika uchaguzi wa 2025 BAKWATA wao walisema wazi wanaunga mkono huo uchaguzi na wakawa wanashiriki shughuli mbalimbali za uchaguzi, TEC wao walibaki nyutro wakiwa hawaeleweki wala kuwa na msimamo kama wanaunga mkono au wanaupinga huo uchaguzi!

Haki ina upande.
Bakwata ni serikali...tatizo waislamu ni vipofu ndiyo maana mnalia kuwa kanisa katoliki linakula pesa za serikali ila nafumbia macho bakwata ambayo ipo serikalini kabisa ni sehemu ya serikali ! Wanalindwa na serikali na kulipwa pesa za serikali kwa namna mbali mbali ...hivyo kuifananisha TEC NA BAKWATA NI KOSA LA KIMANTIKI
 
Sasa haya yote yana mchango gani kama hawawezi kuwa na karata/ turufu / leverage yoyote katika kufanya mambo wanayopigia kelele yabadilike ?
Wana tofauti gani na taasisi za Askofu Gwajima au Mwamakula ??
Tanzania sio state ya kidini, hii sio Zambia kwa hiyo ni lazma kanisa likitaka kupiga step lazma liangalie mbele.

Haya matamko tu yalionekana kama yanachochewe na udini. What if wakienda front, si itamaanisha serikali ipo chini ya kanisa.

Hii italeta nini katika jamii ambazo zinaamini Tanzania ina mfumo kristu?

Huoni hatari ya kanisa kwenda direct kwenye siasa na uongozi.

Wanachokifanya ndicho wanachopaswa kufanya. Kinachobaki ni kwa watanzania wenyewe. Kama wanaona kila kitu na kukaa kimya

Hata Kanisa likifanya kitu, impact yake itakuwaje consistent kama siku zote watanzania watabaki kama makondoo
 
Mbona BAKWATA wako front kabisa wanasimama na CCM na haionekani ni mfumo Islamu au serikali iko chini ya Uislamu ?

TEC wangejitokeza waseme hawaungi mkono uchaguzi na kuwasihi waumini wake wasishiriki huo uchaguzi kwa sababu ni sham ingekuaje ni mfumo Kristo au Serikali kuwa chini ya Kanisa? Mbona BAKWATA walitoka wazi hadharani wakaweka msimamo wao na kuhimiza waumini wao kushiriki uchaguzi??
 
Kwenye siasa kuwa na msimamo unaoleweka na wa wazi ni jambo muhimu sana la kujenga heshima na kuaminika.

Ukiangalia katika siasa za Tanzania BAKWATA wao wamejifungamanisha wazi kabisa na CCM na serikali yake, hawajifichi na msimamo wao uko wazi kabisa unaeleweka kwa watawala na wafuasi wao, hawaongei kwa mafumbo na vitendawili.

Kwa upande wa TEC wao hawaeleweki wamesimama upande gani. Wanasema wanatetea haki lakini hapo hapo mguu mmoja wako ndani ya CCM na mwingine uko nje. Wanajifanya kama vile hawana "leverage" yoyote kwenye utawala.

Mfano katika uchaguzi wa 2025 BAKWATA wao walisema wazi wanaunga mkono huo uchaguzi na wakawa wanashiriki shughuli mbalimbali za uchaguzi, TEC wao walibaki nyutro wakiwa hawaeleweki wala kuwa na msimamo kama wanaunga mkono au wanaupinga huo uchaguzi!

Haki ina upande.
Bakwata na TEC ni wapumbavu Tu hao
 
Hebu tueleze, KKKT nao wako upande gani?
 
Sema wana ushawishi na kutumika kwa Siasa za ccm na sio siasa za nchi.

Hilo liko wazi, ndio mana wao kila kitu hewala hewala kwa ccm.

Awamu hii hata waislam wengi sana wameidharau sana bakwata.
Hili nalo ni oni kutoka BAKWATA
 
Back
Top Bottom