BAKWATA: Wasichana wa umri wa miaka 14 waendelee kuolewa

I think the best solution ni kumfanye mtoto aendelee kubaki shuleni,

Itamruhusu kupevuka zaidi kiakili na kimwili, na solution litapatikana automatically.
 
Kulikua na kesi pale Al Muntazir ambapo ililalamikiwa kuwa waalimu wanawaelekeza watoto wa kike kuingiliwa kinyume cha maumbile na wenzi wao pale inapotokea wapo kwenye hedhi.
Ule ushenzi ulipigiwa kelele na waislamu wengi, ilipelekea hadi Waziri wa Elimu, Prof. Ndalichako kuingilia na issue ikazimwa mazima.
Sasa hili tena la safari hii la BAKWATA linaleta ukakasi sana. Walipaswa walipigie ukimywa tu, sababu kulingana na mazingira, nyakati, utamaduni, science and technology kuna mambo lazima yajifie natural death. hata kama yapo kwenye Maandiko Matakatifu.

Haiwezekani kulazimisha kusafiri umbali mrefu kwa kutumia punda katika zama hizi kisa mitume na manabii walisafiri kwa punda.
Haiwezekani kulazimisha kusafiri kwa Ngalawa, kisa mitume na manabii hawakutumia boti au mitumbwi au meli zenye engine
 
Hata kama hajaenda sekondari bado kwa umri ule anakuwa treated kama mwanafunzi ma sio mwananchi

Na ndio maana serikali inajaribu kuweka mfumo rahisi wa kuwapunguzia vikwazo vya ufaulu kuwafanya watoto waendelee kuwapo shuleni
Sheria ya Sasa ya serikali ndiyo inayosema hao ambao hawako shule na Wana 14 yrs wanaweza olewa kwa usinamizi wa mahakama
 
hayo umeandika wewe hapa sasa hivi naona unahamisha mpira tatizo hujaelewa sijui kwa nini umekimbilia kujibu ujinga
Nimekuuliza hivyo kwa sababu hao mnao kataa wasiolewe kisa ni wadogo huku mitaani mnafanya nao ngono na kuwapa mimba na magonjwa na kuwatelekeza.
 

Kuna mabinti hapa nyumban nimewauliza mmekua sasa muolewe mmoja ana 13,mwingine 15 wanenishangaa wakaniambia hatutakii
 
Bro binti yako wa miaka 14 akisema anataka kuolewa, utamkubalia??
Kama hasomi na ana umbo kubwa mm nitamrusu tu .
Unaweza ukamkatalia na bado akaenda kuliwa na wahuni huko mitaani akakuletea mimba nyumbani na hautakuwa na cha kumfanya maana ww ndo ulikataza asiolewe.
 
Nimekuuliza hivyo kwa sababu hao mnao kataa wasiolewe kisa ni wadogo huku mitaani mnafanya nao ngono na kuwapa mimba na magonjwa na kuwatelekeza.
kuanzia kuolewa mpaka huo uchafu mwingine kwa binti wa miaka 14 ni ujinga narudia tena upuuuzwe

kigezo cha kutumia hao wachache wanaopitia kadhia hiyo ndio muichukue na kiweka kwenye haki jinai is wrong na kutaka kujifeva nyie wenyewe kwa tamaa zenu tena itakuwa ni tamaa za mashehe hizo kutaka kula vibinti vidogo muogopeni Mungu
 
Mm nadhani wameongelea kwa binti ambaye hasomi mfano binti umempeleka shule akafika la 7 akafeli.
Kwa maoni yangu binti wa umri huo bado anahitaji malezi ya Wazazi.

Kwahiyo hata kama amefeli vyema apelekwe hata Elimu ya Ufundi (Veta) wakati akiendelea kukua kimwili na kiakili
 
Hapana shezea dini ya mwenyaazi Mungu🤣🤩
 
afya za mwili zinaeza kuwa salama lakini sio afya ya akili…kumpa mtoto mdogo majukumu makubwa ni kumtesa kimwili na kiakili
Mbona bibi na mama zako waliweza ?
 
Acheni kuwala sasa sio kuwakataza kuolewa alafu huku mitaani mnawarubuni na kuwala kwa chipusi mayai mwisho mnawapa mimba na kuwatelekeza mabinti wa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…