BAKWATA: Wasichana wa umri wa miaka 14 waendelee kuolewa

Kwamba bakwata wamezungumzia kulazimisha mabinti kuolewa!!
 
Ni kweli wote wanaomaliza la Saba(miaka 14) huendelea na masomo!?..wanaokwama kusoma wafanyeje!?..wapate uzoefu wa ngono mitaani mpaka watapofika miaka 18!?
Kwa hiyo waolewe? Ndio suluhisho halaf
 
Yaani mtu amesoma sheria mpaka kuwa mwanasheria mkuu wa Bakwata haoni aibu kuongea Upumbavu kama huu...?...anajua mtoto wa miaka 14 alivyo? Kweli ataweza kubeba majukumu ya kuwa mke achilia mbali kuwa mama? Na shule je?.

Aisee...inasikitisha sana.
Mwanamke ni kiumbe cha ajabu sana,huyo miaka 14 akiolewa utashangaa anavyobadilika na anayamudu vizur tu majukumu yake hata akiwa na watoto anawatunza vzur tu na biashara wanafanya za kukizi mahitaj ya familia

Kiumbe ke usikichukulie poa
 
Wakati TEC Wanapendekeza Viongozi waondolewe Kinga ya kutoshitakiwa, yaani wote tuwe Sawa Mbele ya sheria, Hawa wenzetu wanapendekeza watoto wa miaka 11, 12 ,13 ,14 waruhusiwe kuolewa, kupanga ni kuchagua ......
Wataka sema kina fulani hawana akili?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
acha uongo ili kuficha aibu ,Aisha( R.A) aliolewa akiwa na miaka 6 na alianza kuingiliwa na mtume akiwa na miaka 9
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…